Watu mpaka tumesahau kisulisuli

Watu mpaka tumesahau kisulisuli

Hata kama mtu kanikosea kwa kiwango gani, Eee Mwenyezi Mungu, usinipe roho ya kisasi cha kumtakia kifo mja wako. Unaruhusiwa kuisali Dua hii kimoyomoyo au hata na Familia yako kwa ujumla. Aaamin.[emoji120]
 
Nimeona watu wamevaa Rubega,vibuyu na kaniki wakiwa ndani ya vx ya bashite wakielekea kivikoni front sijui walikuwa wanaelekea wapi
 
Who cares???

Afweeee apone,I dont care anyways!

Issue ni kwamba kapigwa kitu ya kisasa na ameipata vizuri!

Na jamaa angejaza uzito kidogo ungekuta tunatoa rambirambi by now!

Unashindwa kuelewa,from now on,the effect on him will be real!

Chezea!
Yaani jinsi unavyoandika tu me kicheko 😂😂😂😂
 
Nimeona watu wamevaa Rubega,vibuyu na kaniki wakiwa ndani ya vx ya bashite wakielekea kivikoni front sijui walikuwa wanaelekea wapi
😂😂 Yana ukweli haya..?
 
Kwani kaenda wapi?
Yupo lkn Kuna uvumi huko mambo yalikuwa Moto mpaka tukakurupuka tusio wa jukwaa la siasa kwenda kuangalia kinagaubaga!! Lkn uzushi ule sahivi umezikwa baada ya mzee kuonekana akiwaapisha aliowatea..
 
Yupo lkn Kuna uvumi huko mambo yalikuwa Moto mpaka tukakurupuka tusio wa jukwaa la siasa kwenda kuangalia kinagaubaga!! Lkn uzushi ule sahivi umezikwa baada ya mzee kuonekana akiwaapisha aliowatea..
Haha ule wa adui yako muombee njaa!!
Hiyo ya kuwaapisha nimeiona Bahati mbaya kwenye front page
 
Back
Top Bottom