Watu mbalimbali,nanguvu mbalimbali

Watu mbalimbali,nanguvu mbalimbali

......Duuuh!!, Kwa mara ya kwanza nimepata definition ya neno "kilema"

Kwahiyo unataka kumambia wakina Bill Gates, Mark Zuckerberg, Dangote nk nao ni vilema coz wako tofauti na watu wengi!....
Nina uhakika umeelewa.
 
......Duuuh!!, Kwa mara ya kwanza nimepata definition ya neno "kilema"

Kwahiyo unataka kumambia wakina Bill Gates, Mark Zuckerberg, Dangote nk nao ni vilema coz wako tofauti na watu wengi!....
yes indeed. hata ussen bolt kukimbia kuliko watu wengi ni kilema (ie abnormality)
 
left-hand.jpg
hapa ugali mdogo kulinganisha na idadi ya jamaa walaji.huyo wa kwanza akawahi kutaka kukata kipande bila hata kunawa,wa pili kuweka mkono ni huyo aliye kulia kwa mtasha, mtasha naye kawahi bila kunawa na mkono wa kushoto,w a nne alianza kunawa akaona washkaj wanawah kula bila kunawa akaacha maji ndiyo maana mkono wake umeloana vidole vitatu tu.huyo wa mwisho nadhani alikuwa anangojea anawe kwa kuwa mikono yake ni michafu sana,akaona mpaka amalize kunawa ugali utakuwa umeisha,naye akaamua kuyakacha maji.
 
......Duuuh!!, Kwa mara ya kwanza nimepata definition ya neno "kilema"

Kwahiyo unataka kumambia wakina Bill Gates, Mark Zuckerberg, Dangote nk nao ni vilema coz wako tofauti na watu wengi!....
utofauti unaoongelewa hapo ni katika viungo vya mwili.jaribu kutafuta maarifa na kwa wengine usikie.hasa kutoka kwa watu waliosoma sayansi ya viumbe.
 
hapa ugali mdogo kulinganisha na idadi ya jamaa walaji.huyo wa kwanza akawahi kutaka kukata kipande bila hata kunawa,wa pili kuweka mkono ni huyo aliye kulia kwa mtasha, mtasha naye kawahi bila kunawa na mkono wa kushoto,w a nne alianza kunawa akaona washkaj wanawah kula bila kunawa akaacha maji ndiyo maana mkono wake umeloana vidole vitatu tu.huyo wa mwisho nadhani alikuwa anangojea anawe kwa kuwa mikono yake ni michafu sana,akaona mpaka amalize kunawa ugali utakuwa umeisha,naye akaamua kuyakacha maji.
mkuu unatafsiri picha ama unaielezea picha..?
 
tueleweshe basi...au mpaka tukupe mji?
ha ha... mkuu sijaona ugumu hapo,siitaji mji tatizo mnaishughulikia hiyo moja wkt nimeweka 2.. nikisema nitakuwa nimeharibu maana nzima ya fumbo!,tafsiri uwezavyo si lzm iendane na ujumbe wangu ila iendane na hizo picha
 
heheh duuh,basi sawa.ngoja niendelee kuitafakari,nikifeli ntasubiri tu utoe majibu manake hamna namna
 
Kichwa cha habari kitakusaidia sana kupata tafsiri
 
Hicho ni kikema sio hali ya kawaida.Anayetumia shoto anatakiwa afundishwe kutumia kulia,kama vile asiyeona au kusikia anafundishwa njia sahihi za kuona na kusikia.
kumbadilisha mtu mkono huwa kunampunguzia akili.
 
TAFSIRI

Wazungu hawajui kula ugali na mambo ya kula kwa mkono wa kulia hawayajui

fullstop
 
Tumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconi
kweli mimi mwenyewe mashoto. Watu na imani zao. Yesu yupo ameketi upande wa kuume wa Mungu. Which means Mungu yuko kushoto kwa Yesu. Left is Might
 
Tumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconi
Wewe ndio mdini kumshtumu mtu kwa udini wakati hajaleta udini
 
Kilema ni kutumika kiungo kinyume na wengi wanavyokitumia.
Dogo samahani, ujue mimi si mtu mwepesi mwepesi na tafsiri za 'bongo fuleva'...leo utanibeba. Chini hapa linakuja swali dume:

Hawa ndugu zetu (Mwenyezi Mungu aepushie mbali) MASHOGA, ni vilema wale? Maana kuna kiungo wanakitumia kinyume na wengi
 
Back
Top Bottom