mizungu michafu sana, sasa huyu ni vipi atia mkono wa shoto kwenye chakula?
Tumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconimizungu michafu sana, sasa huyu ni vipi atia mkono wa shoto kwenye chakula?
Hicho ni kikema sio hali ya kawaida.Anayetumia shoto anatakiwa afundishwe kutumia kulia,kama vile asiyeona au kusikia anafundishwa njia sahihi za kuona na kusikia.Tumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconi
Haya tena, hili la dini latoka wapi? we wajua dini yangu? haya nafuu umekuja mwenyewe, sasa huo huo ndo wafutia mavi na kisha wafinyia ugali? ni swali tu sina nia mbaya.Tumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconi
Shida yako ukifuta mavi hunawi. Kwani ukila fenesi unashika na mkono mmoja?Haya tena, hili la dini latoka wapi? we wajua dini yangu? haya nafuu umekuja mwenyewe, sasa huo huo ndo wafutia mavi na kisha wafinyia ugali? ni swali tu sina nia mbaya.
Ohoo kumbe weye wafuta mafi kwa mkono wakulia, alafu ndo watupa mkono huo kutusalimia?Shida yako ukifuta mavi hunawi. Kwani ukila fenesi unashika na mkono mmoja?
By the way, mimi mavi nafutia wa kulia. Huu wa kushoto kwa kuwa ndio una nguvu na control, nautumia kushika kopo la maji.
mizungu michafu sana, sasa huyu ni vipi atia mkono wa shoto kwenye chakula?
sidhani kama mmezielewa hizo picha,anyway kila mtu na tafsiri yakeTumia akili yako vizuri, usiwaze kuchamba tu kwa kuwa dini yako inakuelekeza hivyo, kuna wengine sisi tunatumia mkono wa kushoto. Messi, Giroud, Cazorla, Mata, Bellusconi
Being left handed sio kilema.Hicho ni kikema sio hali ya kawaida.Anayetumia shoto anatakiwa afundishwe kutumia kulia,kama vile asiyeona au kusikia anafundishwa njia sahihi za kuona na kusikia.
Picha tumeelewa ndo maana twatukanana na jamaa yangu Mwana Mtoka Pabaya lakini yaweza kuwa hatujaelewa ujumbe wa picha. Haya hembu tusaidie katika hilo ndugu.sidhani kama mmezielewa hizo picha,anyway kila mtu na tafsiri yake
Mkuu wewe unataka kunilaza hospitali kwa kucheka...huo mkono wa kulia unaoudhani ni msafi ndio shapu, yakiwasha matako tu ushaupeleka kukuna, zikiwasha korodani hivyo hivyo, na hapo upo Kariakoo...si bora suala la kutawaza linakukuta nyumbani.Ohoo kumbe weye wafuta mafi kwa mkono wakulia, alafu ndo watupa mkono huo kutusalimia?
ha ha.. ningehitaji kuuleta kwa kuufafanua ningeufafanua ila nimeuleta hivyo ndio lugha niliopenda kuitumia...Picha tumeelewa ndo maana twatukanana na jamaa yangu Mwana Mtoka Pabaya lakini yaweza kuwa hatujaelewa ujumbe wa picha. Haya hembu tusaidie katika hilo ndugu.
Aakha! Sasa mbona unatuuliza kama tumeelewa wkt nia yako ilikkuwa tusielewe?ha ha.. ningehitaji kuuleta kwa kuufafanua ningeufafanua ila nimeuleta hivyo ndio lugha niliopenda kuitumia...
Kilema ni kutumika kiungo kinyume na wengi wanavyokitumia.Being left handed sio kilema.
Kunawa mikono kwa sabuni kumeshauriwa na watu wa afya.Kunawa kwa maji yanayotiririka.Mkuu wewe unataka kunilaza hospitali kwa kucheka...huo mkono wa kulia unaoudhani ni msafi ndio shapu, yakiwasha matako tu ushaupeleka kukuna, zikiwasha korodani hivyo hivyo, na hapo upo Kariakoo...si bora suala la kutawaza linakukuta nyumbani.
Mi tukikutana tafadhali nisalimie na mkono wa kushoto
........Na "sisi" tunaotumia mikono yote unatuweka kundi gani?Kilema ni kutumika kiungo kinyume na wengi wanavyokitumia.
Vyovyote itakavyokuwa,ukiwa kinyume na wengi,ni kilema hicho.........Na "sisi" tunaotumia mikono yote unatuweka kundi gani?
......Duuuh!!, Kwa mara ya kwanza nimepata definition ya neno "kilema"Vyovyote itakavyokuwa,ukiwa kinyume na wengi,ni kilema hicho.