Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Mbona povu? Sijamshutumu mtu yeyote kuwa mdini, wa wapi wewe? Kuna tofauti ya udini na dini. Mwenyewe alinielewa, sasa sijui umekula maharage ya wapi umekurupuka na mada imekuzidi kimo. Hebu kasome tena, vaa chupi uje...sasa hivi inaonekana una constipationWewe ndio mdini kumshtumu mtu kwa udini wakati hajaleta udini