Yani wewe wiki 1 unatumia laki 7 tu wakati mimi natumia milioni 7Mm nina mmoja tuu ananitoa jasho kwa week natumia laki saba 😆
Yani wewe wiki 1 unatumia laki 7 tu wakati mimi natumia milioni 7Mm nina mmoja tuu ananitoa jasho kwa week natumia laki saba 😆
Ndio, mnatumia kodi yangu hospitalini na kusomeshea kinachoitwa elimu bure wakati mimi Sina barabara ya lami.Kwani tukizaa utawalea wewe?
Atalia kuliko hao watotoSehem nilipo watu wanashindana kuzaa
Mwingine kaniambia kwao wapo kumi nayeye anataka atengeneze historia hiyo 😳
Ndio, mnatumia kodi yangu hospitalini na kusomeshea kinachoitwa elimu bure wakati mimi Sina barabara ya lami.
Acha basi mzee..... Mm laki saba nachoka mnoYani wewe wiki 1 unatumia laki 7 tu wakati mimi natumia milioni 7