lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,029
Stanslaus Katabalo, alikufa akitetea ardhi ya Wamasai Loliondo isigawiwe. Sina uhakika na age lakini itakuwa early or late 30s.duuuh hamna mbongo
Stanslaus Katabalo, alikufa akitetea ardhi ya Wamasai Loliondo isigawiwe. Sina uhakika na age lakini itakuwa early or late 30s.duuuh hamna mbongo
Mwangosi, R.I.Pduuuh hamna mbongo
Huyu jamaa aliishi Dar es salaam, Upanga kwa miezi zaidi ya sita na kuelekea Congo kwa mapigano ya vita vya kimapinduzi..
10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273
Kumbe, ahsante mkuu.View attachment 212331
Gerald Lervet, an American soul singer July 13, 1966 - November 10, 2006.. Sababu za kifo chake ni mchanganyiko wa madawa aliyokunywa..
Kumbe, ahsante mkuu.
Vibao vyake vimetulia sana.
Kuna kibao chake kimoja cha kuitwa Made to love you kwa kweli kimetulia mno.
Cause I was made to love you...
My hands to touch you...
My arms to hold you...
My legs to stand...
My time to spend...
My lips to kiss you...
My eyes to see you...
My legs to stand...
Utakufa kweli ujue wewe...!!!
mkuu acha utani kwenye kifo walioimba kwetu pazuri wanajua waliyopata baada ya kuimba ule wimbo
Mkuu ahsante sana kwa kunijuza mawili matatu ambayo sikuwa nayafahamu kiundani kuhusiana na Gerald Levert.Daah Mkuu dat's my favourite song.. Jamaa alirithi kipaji toka kwa baba yake Eddie Levert.. Mwanzo alikuwa anaimba na mdogo wake wa kiume aliejulikana kama Sean Levert (huyu nae alifariki tarehe 30 march, 2008) pamoja na baba yake..
Kiibao baby hold on to me alichoshirikiana na baba yake Eddie kilishika namba moja kwenye charts za R&B mwaka 1991..
Jamaa alikuwa mkali sana kwa R&B..
Jam la nguvu sana huwezi amini nimeusikiliza mara tano na hamu bado haijaniisha kibao kina ujumbe mzito sana.Kiibao baby hold on to me alichoshirikiana na baba yake Eddie kilishika namba moja kwenye charts za R&B mwaka 1991..
Jamaa alikuwa mkali sana kwa R&B..