watu kuweka riwaya JF

watu kuweka riwaya JF

Tatizo lako unataka kusoma kila kitu!
Hilo litakusumbua sana maishani mwako!
 
Kama unaboreka acha kusoma, we kama uko siriaz sana nenda jukwaa la siasa huku sisi tunataka stori za mapenz na burudan ya kuondoa stress. we ukishaona ndefu piga chini nenda facebook
 
ni upepo tu unapita
kuna msimu ulikuwa wa kutafuta walosoma Songambele Sec, nao ukapita

leo ni 'hadithi hadithi'
hadithi njoo utamu kolea
 
naona imekuwa mtindo sikuhizi watu kuweka riwaya humu Jamii Forums,
utakuta mtu anaanzisha thread yenye heading nzuri, ukianza kuisoma kwanza utakuta ndefu, halafu utaona (itaendelea......)
inakera sana wakati mwingine

Hujalazimishwa kusoma
 
kwani lazima uzisome? Zipotezee tu mkubwa!


Ni kweli, si lazima azisome maana hata mi binafsi kuna post zingine huwa naziruka au nasoma tu kujifurahisha kama zile za kutafuta wachumba, lakini wapo watu wanaofaidika na hizo na kupata wachumba ki-kweli kweli! Hivyo haiwezekana jukwa hili likamfurahisha mtu kwa kila kitu, tuna mawazo, elimu, umri na mitazamo tofauti sana!
 
Wacha mambo yako wengine tunakesha. cha msingi mods watuwekee tu jukwaa linalojitegemea tuendelee kufaudu. watu wanavipaji bwana wacha mchezo.
 
yalikuwa ni maoni tu wajameni. msijenge chuki.
 
utakua unazipenda na ndo maana unafatilia na kujua kama ni riwaya
 
Back
Top Bottom