William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Duh! Mi sijaelewa kitu! Ngoja nisepe!
Acha kudanganya we baharia, nlikuwa pale..elfu sita unaijua wew au unaiskia.
- Haina haraka sana utaelewa tu U know!!
Le Big Show
- Well wala sina sababu ya kubishana on this one maana vitabu tulivyotumia kuuza tiketi vipo kaka, kubali tu au unaweza kuendelea kubiashana na wewe mwenyewe, vinywaji viliisha mara 4 kaka ni historia tupu siku ile
Le Mutuz
Kumbe Le Mutuz sometime unajibu kwa busara ukiendelea hv nitakupa dadangu aisee- Well wala sina sababu ya kubishana on this one maana vitabu tulivyotumia kuuza tiketi vipo kaka, kubali tu au unaweza kuendelea kubiashana na wewe mwenyewe, vinywaji viliisha mara 4 kaka ni historia tupu siku ile
Le Mutuz
Anatimiza ilani ya Chama, unajuwa ameajili wangapi? wenye tatizo ni wale wanaoshabikia ujinga huu.Mnnacha kufanya mambo ya maendeleo mnang'ang'ania kufanya mambo yanayodumaza akili za watu mwanzo mwisho...halafu kesho na keshokutwa mnapanda majukwaani mkitaka kupewa uongozi...
Anatimiza ilani ya Chama, unajuwa ameajili wangapi? wenye tatizo ni wale wanaoshabikia ujinga huu.
Huyu ndio anashauri Wabongo waliopo nje warudi nyumbani kuja kudumaza akili na nguvukazi ya Taifa.
Kumbe Le Mutuz sometime unajibu kwa busara ukiendelea hv nitakupa dadangu aisee