Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Yaah!kuna mtu kafa lakini ukimtizama usoni kama ana tabasamu vile ile kuna wengine ni zaidi ya kuku alie chinjwa miguu inarushwa kule.pia wacha niulize hapa kuna baadhi ya maiti huwa inakuwa ngumu kuzinyoosha yaani unakuta kakunja miguu na mikono hata kama watu walimuwahi kabla hajapoa inakuwaje?
 
Hizi ni zile zenye viapo maagano na zilizochanjiwa muku za wachawi pia na watu waliofanya mabaya mengi
 
Kuna tafsiri nyingi katika hili naweza kusema ndio au hapana ila ukiniuliza kama nilishawahi kufika kuzimu nitasema ndio
Mshana

Katika moja ya post/replies zako, uli declare kwamba, you were left to tell. Na hapa juu umesema ulishawahi fika kuzimu.

Hebu sasa naomba utuelezee kwa kina kuhusu kuzimu, kuanzia defn na yote ya huko, ili na sisi tulio gizani tupate kujua.
 
Kuchanjia muku ndio nini mkuu
Kuchanjiwa madawa ya kienyeji hata ukipigwa huumii na kama ni kipigo kitakatifu mpaka wapigaji wako wakidhani wamekumaliza wewe unaweza kusurvive tena
 
Kuna tafsiri nyingi katika hili naweza kusema ndio au hapana ila ukiniuliza kama nilishawahi kufika kuzimu nitasema ndio
Hebu say smthng about njia za kwenda huko xprienc yako maan zipo nyingi.
Wew ulipitia ipi
 
Hebu say smthng about njia za kwenda huko xprienc yako maan zipo nyingi.
Wew ulipitia ipi
Kwa njia ya kufa kichawi
Kwa njia ya kupitia baharini
Kwa njia ya meditation(hell meditation)
Kwa njia ya miujiza mbalimbali
 
Can you say smething kuhusu hiyo kuonyeshwa.
Ipe nyama kidogo
 
Kwa njia ya kufa kichawi
Kwa njia ya kupitia baharini
Kwa njia ya meditation(hell meditation)
Kwa njia ya miujiza mbalimbali
Baharin ziwani kote kwenye mass ya maji huweza kuwa get ya kwenda.
Kutumia mayai visa etc.

Wish to hear more about hizo trip zako
 
Hhhha hiyo ya tatu mambo ya Usinga ngoma ipoooo kuleeee ngoja nisipataje.

Ila kuna watu kutokana na worse things ambazo wamewahi kufanya kama uchawi ujambazi uuaji anakua na picha halisi kua anakoenda sio kuzuri ni kubaya hatari . So mind yake ina try ku resist kufa,anakuw anapigana hayupo willing kufa na mengi hutokea hapo.

Hiyo ya kusimma dushe inakuwaga mwanamke anatengenezw anawekew usinga akitembea na man tu ndo hayo uliosema hutokea , ila wanasema dawa ya usinga usikupate ni chuma
 
.... Usiwe mtu wa kuzini, usiwe mchawi, usiwe mlevi, usiwe mwizi, usiwe msengenyaji, usitukane watu Hapa JF,usitongoze watu hapa JF kwa lengo la uzinzi, usiwe mwongo, usiwe......... .....
Matendo ya mwili ni dhahili ndio haya uasherati, uchafu,fitina,faraka uzushi,uzinzi,ulevi, ulafi, Ufisadi na ibada ya sanamu watu watendao mambo ya jinsi hiyo nawaambia mapema kama nilivyokwisha kuwaambia hawatauridhi ufalme wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…