Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Kaka mshana mambo mengine hayasameheki wala hayasahauliki, sidhani kama kuna mtu anapenda kuishi akiwa amejawa na kisasi Moyoni ni matokeo tu ya mambo yaliyowahimtokea
Eneo la kumsamehe mtu alikutenda Mabaya ni gumu sana lkn kama unaamini ktk MUNGU wa kweli hakuna namna Kama ni Mkristo soma Mathayo 6:14 na Mithali..4:23
 
Eneo la kumsamehe mtu alikutenda Mabaya ni gumu sana lkn kama unaamini ktk MUNGU wa kweli hakuna namna Kama ni Mkristo soma Mathayo 6:14 na Mithali..4:23


Namuamini Mungu lakini kuna mambo hata iweje hayasameheki na hata ukisema umesamehe bado ukikumbuka moyo unajaa uchungu mkuu sababu hayasahauliki ndugu yangu
 
Kwa kuongezea, nadhani Yesu aliposema ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke alikua anaongea kuhusu mateso makubwa ambayo ilitakiwa ayapate (kipigo na adhabu nyingine) ila hakua akiongea kuhusu kukata roho ..ikumbukwe aliyasema haya kabla hata hajakamatwa
 
Namuamini Mungu lakini kuna mambo hata iweje hayasameheki na hata ukisema umesamehe bado ukikumbuka moyo unajaa uchungu mkuu sababu hayasahauliki ndugu yangu
Nikweli usemayo...kuwa watu Tumepitia magumu kweli kweli naunakuta mtu unaeamini wa karaibu mwisho wa siku anakuwa tanzi kwako anaharibu maisha yako....unajikuta unaanza Upya kila kitu kimekufa lkn huna namna sababu Unatakiwa ujue unapokuwa na BIFU na MTU Kumbuka sio nyie wawili mnaojua issue itajulikana na wengi so Utakapo taka Revange ujue pia na Impact yake usipoangalia utajikuta ..unazalisha tatizo jipya hukulitegemea...Huo mstari wa Mithali...unasema LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO VYOTE ULINDAVYO MAANA NDIPO ZITOKAPO CHEM CHEM ZA UZIMA Kumbuka MOYO unatakiwa usibebe MTU kwasababu ukiwa muda wt unamuwaza MTU hakuna kitu kingine utafanya....so kusema ukweli ni NGUMU MNO kusamehe.....na sio kitu cha kuisha siku 1...Duuh....Sorry mkuu Mshana Jr OFF TOPIC
 
Ukizidi kutenda maovu hata cku ukitaka kufa utahangaika Mpaka basi sijui vinyongo muuaji kuna baba mchawi aliuaga wengi aliteseka huyo mana alianza kuungua kabla ya kifo na kuona vtu vya ajabu. Before MTU kufariki huonyeshwa three month ili atengeneze maisha yake na Mungu duniani
 
Namuamini Mungu lakini kuna mambo hata iweje hayasameheki na hata ukisema umesamehe bado ukikumbuka moyo unajaa uchungu mkuu sababu hayasahauliki ndugu yangu
Yakupasa kusamehe Mara saba sabini na kumwomba Mungu akupe wepesi dunia hii kuna vtu unaweza kutendewa vinauma mno ila yatupasa kusamehe ka yeye aliyetumbuumba hutusamehe makosa yetu. Usipo kuwa MTU wa kusamehe unajitaftia maradhi na kujiblockia baraka kwenye maisha.
 
Nadhani siku 1 tujadili hii mambo ya Kusamehe naamini ni Somo pana sana....Litasaidia pia kuponya Mioyo ya wengi kwa wale wanaofatilia Semina za Mwakasege wataelewa hili kuhusu Kuganga Mioyo iliyovunjika....
 


Ni rahisi kuandika samehe 7 mara 70 lakini si kufanya uhalisia... kutamka nimesamehe ni rahisi sana lakini kuyasahau ni haiwezekani
 
Death is a smooth transition from seen life to unseen life. That process where the spirit leaves the body. By the way Mshanajr. Merehemu hawezi kuona. May be ulimaanisha mtu.....
 
Mmmhh somo linatisha aiseehhh... asante mshana jr kwa kuleta hili somo kuna kitu nimejifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…