Watu hufa

Watu hufa

Aloo ardhi inameza

Juzi juzi amefika dada ofsini tumemhudumia akaomba namba nikampa baadae jioni akanishukuru kwa ukarimu kwa kunitumia vocha nzuri tu

Nimekaa wiki mbili napiga simu anapokea stranger anajibu mwenye simu ni marehemu

Maisha haya
 
Back
Top Bottom