Watu 20 wafa ajalini Busega

Watu 20 wafa ajalini Busega

Sio kila kitu lazima ukianzishie thread... Take time uangalie kama thread imeshaanzishwa sio kukurupuka kuanzisha habari yenyewe ina makosa kibao!!
 
😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray:😛ray:😛ray:😛ray::amen::amen:
 
[h=1][/h] [h=1]zaidi ya watu 20 wamefariki papo hapo kwenye ajali ya basi la luwule[/h]


zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la luwule walilokuwa wakisafiri nalo kutoka musoma kwenda mwanza kuacha njia kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha itwimila wilaya ya busega.source:for it,web-hosting and news you are welcome maswa exclusive blogspot.

gari lililopata ajali ni luhuye na ilikuwa inatoka tarime kwenda mwanza ajali imetokea eneo la nyanshimo watu 20 wamefariki palepale .
 
Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia,kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.chanzo:EATV
 
Pole majeruhi na waliotangulia wajaaliwe linalostahili.
 
ni basi la luhuye limegonga nyumba ni ajali mbaya sana
 
kibo 10 naye kapost kama wewe neno kwa neno, ni id yako pia?
 
Back
Top Bottom