Watu wapatao 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya sana baada ya basi la Nyehunge (au Luhuye) kutoka Musoma kwenda mwanza kuacha njia na kugonga nyumba kisha kupinduka katika kijiji cha itimila/Itumila A wilayani Busega mkoani simiyu
Chanzo: ITV breaking news
Htaujaona ajali ni kitu cha kawaida bali wakati mwingine abiria tunachangia sehemu kubwa kwa sababu unaweza kumwambia dereva apunguze mwendo na abiria wengine wakakugeuka kuwa unawachelewesha, mimi imewahi nitokea nilipanda gari moja hivi dereva alikua anendesha kwa kasi nilimuonya lakini abiria wengine walinijia juu na kusema nawachelewesha isitoshe baadhi ya siti zilikua hazina mkanda ikiwepo yangu kuna Trafiki alisimamisha maeneo ya morogoro akasema abiria kuna tatizo mimi nikamwambia ndio dereva anatembea mwendo mbovu na pia kuna baadhi ya siti hatuna mikanda cha kushangaza abiria walinikalipia na kuonesha ile mikanda mibovu kama ndiyo mizima, baadae trafiki ilibidi akubaliane na wengi gari ikaruhusiwa tukaondoka, hapo utamlaumu dereva? hata sisi abiria tuanze kubadilika tena sana!Tutaendelea kusema hivi mpaka lini? Tuchukue hatua za kuwawajibisha kama wameshindwa kuwajibika tusione ajali kitu cha kawaida!
Nimepoteza shangazi yangu kwn ajali hiyo, R.I.P my lovely Aunt
nimesikia startv muda si mrefu taarifa yao ya habari wamesema walifikwa na mauti katika ajali hiyo ni watu 12 tu, ni yupi tumwamini na ukweli ni upi[/QU
polisi huwa wanaficha miili afu wanaizika kimya kimya wewe unadhan hawataulizwa kwanini gari liende mbio na wao wako barabarani!?

hapo nimekusoma mkuu