Mwanza maeneo ya MaguImetokea Mwamanyiri iko mkoa gani?
Habari tulizopata ni kwamba kuna ajali ya basi la Luhuye liendalo Sirari na Mwanza limepata ajali leo. Taktiban watu ishirini wamefariki papo hapo. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Mwamanyiri. Taarifa zaidi Na picha zitawajia nitalapofika eneo la tukio.
Mwanza maeneo ya Magu
Barabara yote kuanzia sirari hadi mwanza hakuna tochi ya polisi. Magari, hasa mabasi yanaendeshwa kwa fujo sana. Kamanda mpinga aweke tochi pengine madereva wataogopa.
simiyu ilimega baadhi ya sehemu za magu ndo maana wengine bado wanayaita maeneo hayo kuwa ni ya magu.mazoea tu.Mkuu Wilayani Busega Mkoani Simiyu na si Mwanza maeneo ya Magu... Usichanganye tafadhali