Watu 10 mashuhuri waliouawa kwa kupigwa risasi

Watu 10 mashuhuri waliouawa kwa kupigwa risasi

Ni noma sana...ila huyo Benazir Butto, ndo nlisikitika sana kifo chake..huyu mama alikuwa ni amsha sana...vip Ghadafi mkuu kama umemsahau vile?
hahah...Ghadafi hawezi kuwemo kwenye list coz aliuawa na wahuni a.k.a Rebels...
 
Wabongo katika ubora wa kupinga. Muwe na akili. Mleta mada kashaandika vifo vya watu maarufu duniani. Mtu mwingine humu bila shaka mtoto wa juzi anamtaja Sokoine, na mwingine Karume. Sasa sijui Karume anafahamika vipi ktk macho ya dunia ukilinganisha na wengi waliotajwa hapo.
 
Alichomoa Kichwa kwny Roof ya gari kuaga Wafuasi wake baada ya Mkutano wa hadhara Kumbe kuna Mtunguaji alishamsoma Tabia yake hiyo Kwa hiyo yeye alilenga pale kwny Tundu ya gari kwa juu ile anachomoza tu Kichwa akakutana nayo ya Sikioni!
Weka basi video au picha
 
Mwaka 2001 nikiwa seminary flani O' level nlfundishwa na padre Mmarekani. Aliwahi kututhibutishia kua 2pac hajafa aliwahi kutana nae huko Marekani face to face na akapewa onyo kua endapo angelisema basi nae angeliuawa. Hvyo kwa kua yuko Africa yuko huru kusema. Alimalizia kusema kua baadae 2pac alifanyiwa plastic surgery kuficha uhalisia.
 
Tukiendelea kuikandamiza historia ya Afrika, basi historia hiyo itaendelea kufifia na hata kufa kabisa!
 
Ni noma sana...ila huyo Benazir Butto, ndo nlisikitika sana kifo chake..huyu mama alikuwa ni amsha sana...vip Ghadafi mkuu kama umemsahau vile?
Samora machel, je, Ndadaye, je, Ntaryamira je?, yosef Kabila Je?
 
Back
Top Bottom