Watu 10 mashuhuri waliouawa kwa kupigwa risasi

Kimsingi mtoa mada asingeweza kuwatosheleza wote na mahitaji yao na wengi wamesoma ili kupinga tu....

Hongera sana mkuu kwa uzi wako japokuwa ningependa kuwaona Peter Tosh na Lucky Dube kwenye orodha yako,lakini kama nilivyosema ni ngumu kututosheleza wote maana kila mmoja ana watu wake anaowakubali na hao unawakubali wewe....

Hongera kwa uzi mzuri mkuu...
equal rights.....the other side.
 
List ni ndefu sn..
Michael jackson
mother theresa
pope Benedict
princess Diana
Che guavara n etc..Sema Bi Benazir butto alionywa kabisa asifike pakistan ktk kipinDi cha kampeni, But she didnt take it serious n what happened HappeneD..
Maelezo mazuri Mkuu
Keep it up
Hawa nao walikufa kwa risasi kweli au?Mbona wengine wako hai hapo jaman..mfano Pope Benedict
 
Back
Top Bottom