Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
- Thread starter
- #61
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] DC kreluuHuko Iringa kuna DC aliwahi pigwa shaba na mkulima
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] DC kreluuHuko Iringa kuna DC aliwahi pigwa shaba na mkulima
Kama ilivyo kwa Samora Michel yaan ndege ilitunguliwaHabyarimana aliuawa kwa style gani?
SAMORA ilikuwa ni ajali ya ndege kiongoziWengineo
Lucky Dube
Abeid Amani Karume
Laurent Kabila
Osama bin Laden
Muammar Gadafi
Samora Machel
Tom Mboya
Mkuu hiyo ya Mwanamama BENAZIR BHUTTO kumbukumbu zangu zinaniambia hakuuwawa kwa risasi ila ilikuwa ni bomu la kujitoa muhanga...nakumbuka alikuwa uhamishoni kwa muda(political asylum) baadae akarudi pakistani ili kugombea uraisi na jamaa wakamuwahi hapohapo maeneo ya airport akiwa na wafuasi wake..wakajilipua..(nakumbuka ilioneshwa AL JAZEERA live!)
Inawezekana nikawa siko sahihi mkuu...utanirekebisha
2Pac,Dube,Tosh,Gaddafi,Gandhi,Malcom X,Luther King walikuwa wazungu??????Rais wa 1 wa Zanzibar? Kombe? Mnaacha wa home mnakimbilia wazungu?
mwenyewe umequote ya kwangu, au una maana nyingine????huwezi kucomment bila kuqoute
Mkuu umesoma title vizuri!?? Sidhan km MICHAEL JACKSON aliuawa kwa KUPIGWA RISASI!!!List ni ndefu sn..
Michael jackson
mother theresa
pope Benedict
princess Diana
Che guavara n etc..Sema Bi Benazir butto alionywa kabisa asifike pakistan ktk kipinDi cha kampeni, But she didnt take it serious n what happened HappeneD..
Maelezo mazuri Mkuu
Keep it up
kuquote story nzimamw
mwenyewe umequote ya kwangu, au una maana nyingine????
sijaquote yote kiongozikuquote story nzima
Asee, mpaka yesu!!Yesu kristo alikufa around 30
SAMORA ilikuwa ni ajali ya ndege kiongozi
Sadam Hussein alinyongwaSaddam Hussein sijamuona