Watoto Wengine Presha tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto Wengine Presha tupu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kifulambute, Mar 20, 2012.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Baba na mama,ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza,naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi,najua mtaumia kwa vile bado nasoma
  na ndo nipo kidato cha kwanza,Napenda kuwajulisha kwamba sasa hivi mnaposoma hii barua sipo nyumbani,nimetoroka mana nimegundua nina uwezo wa kujitegemea kwa sababu mi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 14 na ninajua kipi chema na kipi kibaya.tangu mwezi mmoja uliopita nilikuwa na uhusiano na binti mmoja aliyeitwa Rachel,mwenye umri wa miaka 27 na kwa sasa ndo naishi naye kwenye chumba alichopanga.Nilipokuwa nyumbani sikuwa napata hela za kutosha ila sasa nimeanza kushika noti za shilingi 10,000,msichana niliyenaye ni mzuri sana wa umbo na ninampenda sana,amenifundisha njia za kutafuta hela.Amenipangia kazi ya kuuza madawa ya kulevya na yeye ikifika usiku anaenda kuuza mwili wake,basi kila siku tunapata hela ya kutosha,huyu mchumba wangu ni msichana mwenye bidii,kwa siku analala masaa 6 tu maana mwanaume yeyote akija lazima awe naye chumbani kwa mda wa masaa 3.Msiwe na hofu,nipo salama kabisa na nimeamua kumwoa Rachel mana ni kila kitu kwangu.
  Pia amenunua gari la kubebea mbao kwahiyo biashara inaenda vizuri,Rachel ameenda kupima afya na
  amekutwa na upungufu wa kinga mwilini,mara nyingi namridhisha anapotaka kitu flani,iwe kufanya naye mazoezi ya viungo au kufanya naye mapenzi,si mnajua unapokuwa na mgonjwa unakuwa naye karibu,ila mi pia sijihisi vizuri mana kila saa nakohoa tu na sina uhakika kama nimeathirika,.Tumepanga baada ya miaka miwili tutawatembelea,nadhani mpaka miaka miwili iishe atakuwa ameshajifungua,na nifuraha yangu mtamwona mjukuu wenu.Wazazi wangu sina la kuongeza kwaherini Mungu akipenda tutaonana.
  Baba na mama mi nipo chumbani kwangu, mnachokisoma ni h/work ya mwalimu wa kiswahili alituambia tutunge hadithi fupi,naomba iangalieni kama kuna makosa

  ---------
  Nadhani mama asingemalizia hii yani siku mingi keshazimia
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ngoja tu nikupotezee kama usemavyo maana kuandika tabu kwelikweli.
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh
   
 4. S

  Shiwawa Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwana umeji tahid
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kumbe ni home work tuu?
   
 6. 2k Genius

  2k Genius Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  **** huyo dogo
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  uchuro huo.
   
 8. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Ushindwe na ulegee
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  triiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Rejao nimekuonaaaaa
   
Loading...