Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,723
- 10,211
mnunulie iPhone 16 pro max na saa hata ya laki 5 tu
Utamuoa wewe au ataolewa na wenye uwezo wa Tecno😒Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani.
Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru.
Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke.
October tunatiki kumuunga mkono mama yetu wa kizimkazi, halafu mwambieni mama sa100 hatutanii, no reforms no election.
Hawa ndio wanafanya mabinti waone kama papuchi zao ni vitega uchumi.Utamuoa wewe au ataolewa na wenye uwezo wa Tecno😒
🤣🤣🤣Hawa ndio wanafanya mabinti waone kama papuchi zao ni vitega uchumi.
Tulishakubaliana humu bei elekezi ya kuhonga ni kuanzia shilingi 5,000 - 30,000 max.
Elfu 5 hadi 30 hapo umehonga kweli au umetoa sadaka?🤣🤣🤣Hawa ndio wanafanya mabinti waone kama papuchi zao ni vitega uchumi.
Tulishakubaliana humu bei elekezi ya kuhonga ni kuanzia shilingi 5,000 - 30,000 max.
Unaona sasa..Elfu 5 hadi 30 hapo umehonga kweli au umetoa sadaka?🤣🤣🤣
Hiyo ni sadaka. Toa sadaka ubarikiwe upate nyingi zaidi🤣🤣Unaona sasa..
Bei elekezi mkuu. 20-50kElfu 5 hadi 30 hapo umehonga kweli au umetoa sadaka?🤣🤣🤣
Hiyo 5 - 30k inatosha kabisa kwa nauli na vitu vidogo vidogo. Sasa unataka tutoe nyingi ina maana umegeuza papuchi kuwa ajira rasmi sindio..? 🙄Hiyo ni sadaka. Toa sadaka ubarikiwe upate nyingi zaidi🤣🤣
Shida yangu ni kumkula tu. Nikisha mwaga madini basi akaolewe huko na mchango wa harusi ntatoa.Utamuoa wewe au ataolewa na wenye uwezo wa Tecno😒
hii nchi Ina vijana wa hovyo sana na wewe ponjoro ukiwemo maamae!Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani.
Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru.
Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke.
October tunatiki kumuunga mkono mama yetu wa kizimkazi, halafu mwambieni mama sa100 hatutanii, no reforms no election.
Usiogope wewe oa tu, mchango tutatoa, mambo yakiwa magumu tutasupport pia ili ndoa yenu idumu. Ila ukiwa unaomba game akakwambia amechoka sana elewa.Nyie ndio mnatuharibia wanawake. Unamhonga hivyo halafu unamuacha, matokeo yake sisi tukimtumia elfu 50 anatuona kama mbuzi tu..
Ukimhonga mwanamke kiasi icho uhakikishe unamuoa kabisa maana ukimuacha sisi wengine hatumuwezi sasa unamuachia nani..? 🤨
Tafuta hela paka shume wewe.hii nchi Ina vijana wa hovyo sana na wewe ponjoro ukiwemo maamae!
Mkuu kwani ukihonga 30,000 kama watu wengine unapata hasara gani?Usiogope wewe oa tu, mchango tutatoa, mambo yakiwa magumu tutasupport pia ili ndoa yenu idumu. Ila ukiwa unaomba game akakwambia amechoka sana elewa.