Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,266
- 14,510
Usiku mwemaaaaa ๐Asante ndugu Mjusi
Enzi zako
Niko nae hapa amepumzikaHongera apatae mke
Amepata kilichobora
Ila mpka sasa hujalala mkeo yupo wap
Ohoo sawa vizuri sanaNiko nae hapa amepumzika
Mpaka jamvi unalo ๐๐Jamvi ( la wageni)View attachment 3565996
Mkuu nitakucheki kuhusu business fulani unijuze, hili la ndoa hatuwezi kubaliana ๐ ๐.Kubali ndoa linda maisha yako๐
Done mkuu, kule kwenye now or never.Hahahaha sawa mkuu
Sawa mkuu, ngoja niendelee kupambania chama Cha kataa ndoa ๐ ๐Kesho mkuu wangu muda huu ni muda wa kazi๐View attachment 3566004
Vijana watakwea sana minazi๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSubiri hapo hapo. Naomba huu uzi udumu ...the right target