Baada ya sereikali ya Tanzania kuwa na kiongozi mpya wa nchi familia za wangombea urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM wamejikuta kama wakimbizi na wapinzani kwenye nchi yao na wale walioko nchi za nje nitabu sana kwenda kumsalimia rais wao,
wanamtandao wanawabagua kwa kiwango kikubwa sana na kukosa raha kwa wale tunao wafahamu,
Mimi nina omba kuuliza hii ni haki?

Siyo haki hata kidogo...
Lakini waambie wasikonde bure, matatizo kama hayo yanawakuta Watanzania asilimia kubwa tu hapa nchini, wengine hata kuwaona wabunge wao tu ni vigumu kwani katika familia zao kuna watu walio jitokeza kuwania ukada chini ya vya upinzani wakashindwa na wenye bahati kushinda... hivyo familia zao zinakuwa doomed regardless, so to boot!
Hasara, pia waambie wajiunge na JamboForums kwani naamini upweke wa kubaguliwa utapungua! Pia waambie familia zao zizidi na mlengo huo huo badala ya kusalim amri, zikaze uzi ili wazazi wao au ndugu zao wajiandae kugombea tena urais kwenye chaguzi zijazo.
Sina mengi zaidi ya haya. Ahsante.
SteveD.

Heshima mkuu baada ya uchanguzi kwisha zimeanza chuki binafsi nyingi kati ya wagombe na familia zao zikiwemo za Wabunge, Madiwani, Urais, na nafasi nyingine za kiserekali basi waliyoko madarakani kwa sasa inakuwa vingimu kuwasikiliza watoto hao zaidi wanamtandao,
MKUU HANA SHIDA-ruksa kumuona- NI WASAIDIZI WAKE KUMPELEKA MTOTO WA ALIYE KUWA MGOMBEA HAWATAKI, wasaidizi wakimuona mtoto wa haina hiyo basi wanaanza kuulizana ametumwa au nini, majibu atakayo pata siyo mazuri lakini yanarithisha ili uondoke,
Sisi tuwasaidieje hawa watoto ili sauti zao zisikike?
imekuwa vingu hata kupata mialiko ya kichama na serekali wanajiuliza hili jina mkuu akiliona itakuwa basi wanaacha, kumualika mtu kutoka katika hizo familia .
jamani hebu tulijadili hili kwa kina kwasababu ni watanzania na wana haki na nchi yao na viongozi wao aliyeshinda ni kiongozi wa wote waliyo mchangua na wale ambao hawakumpa kura zao.
kama unamjua mtoto au familia kama hii tufahamishe mara moja hapa ili tuweza kuwasaidia.
asante
Vizuri sana umerudi!
Kuna thread hii HAPA , labda uicheck na unaweza ukajibu waliokuwa wanakutafuta hapo awali.
SteveD.
mkuu tunakupongeza kwa kurudi, na walaaniwe waliokuban, ati umetumia haki yako ya kidemokrasia kueleza hisia zako.
mkuu tunakupongeza kwa kurudi, na walaaniwe waliokuban, ati umetumia haki yako ya kidemokrasia kueleza hisia zako.
Mbona Watanzania wengi tu hatujawahi kumuona Rais wetu live kwani tumepungukiwa nini? Kwenda kumsalimia Rais ili iweje? Walizoea kupiga picha na Kikwete ili watusumbue kitaa,zama hizi ni tofauti mkuu.Baada ya sereikali ya Tanzania kuwa na kiongozi mpya wa nchi familia za wangombea urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM wamejikuta kama wakimbizi na wapinzani kwenye nchi yao na wale walioko nchi za nje nitabu sana kwenda kumsalimia rais wao,
wanamtandao wanawabagua kwa kiwango kikubwa sana na kukosa raha kwa wale tunao wafahamu,
Mimi nina omba kuuliza hii ni haki?