Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Hivi watoto wa vigogo wanatakiwa waajiriwe wapi vile
Watanzania acheni uvivu wa kufikri na kuishia kulalamika SOMENI kwani lazima uajiriwe BoT na TRA? Pigeni shule za maana (business, Accounts, Economics, Engineering) sio BA Kiswahili, au BA Archeology, BA Korean Language halafu utegemee utaajiriwa taasisi nyeti zenye kulipa mshahara wa aina ya BoT na TRA
Hata kama waliqualify bado yapo mashaka kwamba ulikuwepo upendeleo wa dhahiri. Hakika nchi hii ina wenyewe. Ningekuwa rais ningeoverhaul mfumo mzima na kuweka timu mpya.
Watanzania acheni uvivu wa kufikri na kuishia kulalamika SOMENI kwani lazima uajiriwe BoT na TRA? Pigeni shule za maana (business, Accounts, Economics, Engineering) sio BA Kiswahili, au BA Archeology, BA Korean Language halafu utegemee utaajiriwa taasisi nyeti zenye kulipa mshahara wa aina ya BoT na TRA
Embu imagine mtu mwenye influence kama Lowassa (na mahela yake kama kweli anayo hiyo mihela), leo limemkuta halafu ujiulize usalama wa taifa iamue kuwashukia waliobaki kuchukua chao. Kuna mtu wa kuwazuia kweli?"Halafu ni wanoko ile mbaya".....pamoja na exposure walizo nazo .....wao bado wanaendeleza zile business as usual ili kulinda maslahi ya wazazi wao.......lol
kama alivyopaa Gadafi na wanawe au Mubarak na wanawe...NA HAPO NDIPO MTAKUFA NYINYI NA WAJUKUU ZENU WENGINE TUTAPAA KWENDA ZETU NG'AMBO KUENDELEA KULA MAISHA.NANI ALIEKWAMBIA VITA VYA KONY VINAMGUSA MUSEVEN NA FAMILIA YAKE?
Mkuu macho_mdiliko nadhani hujanielewa vizuri.....hoja yangu haikuwa kuhusu kuwatetea hao watoto wa vigogo na wala sikufikia "conclusion" yoyote ......Hoja yangu ni kujaribu kushauri namna nzuri ya kulalamika hasa kwenye suala la kiasi.....Hivi kwa mfano Benki Kuu ikiwa na waajiriwa tuseme 4000 halafu kukawa na watoto wa vigogo 20...kuanzia hapo ndiyo tutaweza anza kujadili kama hao ni wengi au kidogo......Lakini mtu anakuja na orodha yake ya waajiriwa 14 bila kutuonesha idadi kamili ya waajiriwa wote tutakuwa tunapoteza muda kujadili na kulalamika....nadhani tujifunze kulalamika kwa facts na siyo mambo yasikuwa na maelezo yaliokamilika.....tutakuwa tunapoteza muda na hata wale tunaowalalamikia watajenga usugu.....na watachukulia hiyo kama udhaifu wetuHakuna mtu aliyesema ukiwa mtoto wa kigogo huna haki ya kuajiriwa BOT. Hiyo ni conclusion yako uliyofikia na inaonekana huelewi watu wanahoji nini). Sisi tunashangazwa na ''coincedence'' ya watoto 14 wote wa vigogo kuajiriwa sehemu moja (nyeti na yenye malipo nzuri). Mbona hatuioni ''coincidence'' hii ikitokea sehemu nyingine...!!!!!!!
Kwani hilo mmejua leo? Na nusu yao hao wana vyeti fake
wewe kama ulitaka kutoa hongo ili upate kazi ,kwanza ujiamini!sawa mimi nimesoma hizo ulizoiita shule ya maana
na ya maana kweli si kitoto mwezi wa kwanza TRA walitoa nafasi za kazi nikaomba katika kufatilia sana nikakutana na hili ili uingie kazini hapo unatakiwa uhonge 3,000,000
sasa kama mimi mtoto wa mamantilie nitazitolea wapi hizo pesa?
Zaidi ya watoto wa vigogo kujazana huko loo
sasa hapo shule ya maana imenisaidia nini?
NA HAPO NDIPO MTAKUFA NYINYI NA WAJUKUU ZENU WENGINE TUTAPAA KWENDA ZETU NG'AMBO KUENDELEA KULA MAISHA.NANI ALIEKWAMBIA VITA VYA KONY VINAMGUSA MUSEVEN NA FAMILIA YAKE?
umesahau na ile kesiya watoto wa vigogo waliofoji vyeti na kuajiliwa bot mmoja wao nimtoto wa mungai haiingii akilini mtoto wa kiongozi aliepata kuwa waziri wa elimu anafoji vyeti na mpaka sasa hii kesi wameizima kimya kimya
Hata ukiacha taasisi nyeti mkuu, mfumo wa TZ ni full ufisadi iwe taasisi nyeti au yakawaida, juzi juzi graduate takribani 1500 waliitwa kwenye interview ya upolisi, chakushangaza walichukuliwa watu 250 katika mazingira yakutatanisha wakiwemo wazanzibari wote waliofika kwenye interview regardless wamefaulu au wamefail. Tanzania nchi ya kitu kidogo.
Hata kama waliqualify bado yapo mashaka kwamba ulikuwepo upendeleo wa dhahiri. Hakika nchi hii ina wenyewe. Ningekuwa rais ningeoverhaul mfumo mzima na kuweka timu mpya.
Sumaye analia nini sasa kama ameshamweka dogo bot!!!!!!!!!!!