Mapovu utatoka wewe man. Kwani hii list no ya Leo. Hata kama umkubali Lowassa unambebeshaje zigo LA ajira za vigogo BOT!? Yeye ndiye aliwaajiri!? Katika wote yeye ndiye uliyemuona mwanaye pekee!? Wahusika wengi mbona ni wanna ccm kwa nini usiseme ccm inatumbuliwa!?Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?
Halafu kuna mdada anadharau kweli alikuwa anabetua midomo wakati JPM anaongea huyo wakutumbua kabisa.
Wewe kweli punguani. Lowassa ndiye aliyewaajiri!? Unahangaika vipi na Lowassa!? Yeye ndiye anaendesha BOT!? Kwani Yale makontena yaliyokwepa kodi yalikuwa ya Bade!? Mbona Bade aliwajibishwa!?Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?
Hapa sio muda wa kumtetea MTUWewe kweli punguani. Lowassa ndiye aliyewaajiri!? Unahangaika vipi na Lowassa!? Yeye ndiye anaendesha BOT!? Kwani Yale makontena yaliyokwepa kodi yalikuwa ya Bade!? Mbona Bade aliwajibishwa!?
Hawakusoma, wewe kama umeshindia asante kayumba kwa kuenzi kiswahili, ukaenda udom, sua, udsm na kuambulia kichapo cha ffu kwa kugoma, then ikaishia kwa maprofessor uchwara wa kucopy na kupaste notes kwenye Google ya mmrekani, ukambulia first class....wenzio waliopo BOT walienda Oxford, Cambridge, Harvard, nk na watakushinda tu kwenye interview za kimataifa, taasisi nyeti kama TRA kwani wanajua mifumo ya kimataifa eg computer system, nk.Mbona sioni flani bin magufuli(uadilifu A) hahaha huyu sasa ndo yule Tabibu tuliekua tukimsubiri haya baba tumbua vijipu uchungu hivyo
Kwakuwawatoto wa nyerere wote walikua vila..z.aas
15. Asha A. Burembo
16. Happy M. Nchenba
17. Josiah O. Sefuwe
18. Nickson J. Kijadhi
19. Denis D. Mwamunyonge
20. Janeth P. Musekwa
endeleaaaa
Lowassa kama wenzake chamani na serikalini wote walifaidika na dhuluma Hii ya ajira za kujuana. Lakini tusiichukulie too personal kwa sababu tu hatumkubali hiyo haitakuwa sawa hata kidogo. Kama wahusika BOT wamezingua wabebeshwe msalaba wao tu hakuna namna.Hapa sio muda wa kumtetea MTU
Kama Lowassa anahusika asemwe tu
Kwa nini watu hawataki asemwe Leo kuwa nimiongoni mwa watu walio tufikisha hapaLowassa kama wenzake chamani na serikalini wote walifaidika na dhuluma Hii ya ajira za kujuana. Lakini tusiichukulie too personal kwa sababu tu hatumkubali hiyo haitakuwa sawa hata kidogo. Kama wahusika BOT wamezingua wabebeshwe msalaba wao tu hakuna namna.
DAKTARI NI ADA LOWASSAPamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Na kwa nini yeye tu ndio aonekane!? Au kwa sabsbu Si mwenzetu chamani!?Kwa nini watu hawataki asemwe Leo kuwa nimiongoni mwa watu walio tufikisha hapa
Hawakusoma, wewe kama umeshindia asante kayumba kwa kuenzi kiswahili, ukaenda udom, sua, udsm na kuambulia kichapo cha ffu kwa kugoma, then ikaishia kwa maprofessor uchwara wa kucopy na kupaste notes kwenye Google ya mmrekani, ukambulia first class....wenzio waliopo BOT walienda Oxford, Cambridge, Harvard, nk na watakushinda tu kwenye interview za kimataifa, taasisi nyeti kama TRA kwani wanajua mifumo ya kimataifa eg computer system, nk.
Tulia uza samaki, mh. Rais hawezi kumfukuza kazi mtoto wa kigogo kisa nini? Utumishi wa umma ulimwajiri