Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Je wewe unamkakati gani wa kuwaandalia watoto wako njia bora
kwa kweli mm najitahidi kuwaandia mazingira mazuri kielimu.bt inasikitisha sana kwani shule nzuri ni gharama kubwa na serikali hii inaendeleza ubaguzi kwani shule nyingi wanaomiliki ni hao hao.vigogo.
"WE NEED CHANGES"
Hatuwezi kusema chadema ndiyo suluhisho kwasababu hata kwenye ngazi ya chama tu tumeona kuna tatizo kubwa la upendeleo wa kikanda na kidini kwahiyo tusikae hapa na kudanganyana
mwambie br pigana acha kulialia andalia wao maisha ili waje wajidai kama Riz kikweteJamani tusitafsiri vibaya maandiko matakatifu by the way CHANGES BEGINS WITH YOU.
kukaangwa ni lazima tutakaangwa, tunachofanya hapa ni kuchagua sufuria tu.
Hatuwezi kusema chadema ndiyo suluhisho kwasababu hata kwenye ngazi ya chama tu tumeona kuna tatizo kubwa la upendeleo wa kikanda na kidini kwahiyo tusikae hapa na kudanganyana
mwambie umaskini huanzia kwenye akili za mtu sasa ww unajaribu kujipa moyo na maandiko ya biblia unatoa tafsiri isiyo sahihi KIKWETE alizaliwa familia maskini leo ni rais wako mimi naweza pia wewe je?Je wewe unamkakati gani wa kuwaandalia watoto wako njia bora
mwambie umaskini huanzia kwenye akili za mtu sasa ww unajaribu kujipa moyo na maandiko ya biblia unatoa tafsiri isiyo sahihi KIKWETE alizaliwa familia maskini leo ni rais wako mimi naweza pia wewe je?