Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Katika biblia imeandikwa "Mwenye nacho ataongezewa na aliye na kidogo atanyanganywa hata hicho alichonacho"Kweli naona kabisa kwa Tz hasa ktk ajira hii verse ipo applicable sana.kwani ktk ajira za sehemu nzuri na zenye maslahi kamwe uwezi muona mtoto wa maskini kote ni watoto wa vigogo.kuanzia watoto wa marais.mawaziri.wabunge.wakurugenzi.
Sasa nn kifanyike sisi kina kabwela tupate nafasi kwani hata hizi nafasi za kawaida ukiwepo kamwe haupandi cheo.mfano.ualimu.jeshini.na taasisi zote kweli kubandishwa cheo ni kwa hao hao watoto wavigogo walichukua nafasi huko.
Mbaya zaidi hizo nafasi wanapewa while vichwani hawana kitu na wapo kwa maslai binafsi sio ya jamii nzima.
"WE NEED CHANGES"