Watoto wa vigogo katika ajira.

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
69
Katika biblia imeandikwa "Mwenye nacho ataongezewa na aliye na kidogo atanyanganywa hata hicho alichonacho"Kweli naona kabisa kwa Tz hasa ktk ajira hii verse ipo applicable sana.kwani ktk ajira za sehemu nzuri na zenye maslahi kamwe uwezi muona mtoto wa maskini kote ni watoto wa vigogo.kuanzia watoto wa marais.mawaziri.wabunge.wakurugenzi.
Sasa nn kifanyike sisi kina kabwela tupate nafasi kwani hata hizi nafasi za kawaida ukiwepo kamwe haupandi cheo.mfano.ualimu.jeshini.na taasisi zote kweli kubandishwa cheo ni kwa hao hao watoto wavigogo walichukua nafasi huko.
Mbaya zaidi hizo nafasi wanapewa while vichwani hawana kitu na wapo kwa maslai binafsi sio ya jamii nzima.

"WE NEED CHANGES"
 
Je wewe unamkakati gani wa kuwaandalia watoto wako njia bora

kwa kweli mm najitahidi kuwaandia mazingira mazuri kielimu.bt inasikitisha sana kwani shule nzuri ni gharama kubwa na serikali hii inaendeleza ubaguzi kwani shule nyingi wanaomiliki ni hao hao.vigogo.

we need changes wakati uaishabikia CCM.

JIUNGE NA CHADEMA TUINGOI CCM KILELENI. HALAFU SAFARI HII CCM WAANADI MAGHEMBE URAIS NA KAPUYA PM.
 
Hatuwezi kusema chadema ndiyo suluhisho kwasababu hata kwenye ngazi ya chama tu tumeona kuna tatizo kubwa la upendeleo wa kikanda na kidini kwahiyo tusikae hapa na kudanganyana
 
Jamani tusitafsiri vibaya maandiko matakatifu by the way CHANGES BEGINS WITH YOU.
 
Hatuwezi kusema chadema ndiyo suluhisho kwasababu hata kwenye ngazi ya chama tu tumeona kuna tatizo kubwa la upendeleo wa kikanda na kidini kwahiyo tusikae hapa na kudanganyana

kukaangwa ni lazima tutakaangwa, tunachofanya hapa ni kuchagua sufuria tu.
 
Hatuwezi kusema chadema ndiyo suluhisho kwasababu hata kwenye ngazi ya chama tu tumeona kuna tatizo kubwa la upendeleo wa kikanda na kidini kwahiyo tusikae hapa na kudanganyana

hapo chadema hawajaangalia ukanda usiwe mgumu kuelewa ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya hao wanaotaka uongozi ni vibaraka na wakishika tu madaraka chama kinakufa vijana wa tanzania njaaaa sana wanarubuniwa kwa kitu kidogo tu
 
[h=2]If you are born poor its not your fault. But if you die poor its your fault.-Bill Gates[/h]
 
hata wewe ungekuwa kigogo au kupata fursa hiyo ungefanya hivyo hivyo tu...kama wana sifa ni sawa tu wapige kazi ila kwa wale walio vilaza ndio msala...ila ol in ol kumbuka hata ungekuwa wewe ndio kigogo una mwanao ana sifa, ungekubali naye ahangaike ktk suala la ajira? au wewe ungekuwa mtoto wa kigogo ungekataa km ungepewa fursa km hiyo? muhimu kaka ni kukomaa na kuhangaika kimaisha ili tufanikiwe kwani sio lazima kila mtu awe kaajiriwa kwenye ofisi au taasisi Fulani ndio afanikiwe.....HAPO HAPO ULIPO NA ULICHOJAALIWA NA ALLAH mshukuru sana na TUFANYE KAZI KWA BIDII....inshaallah tutatoka tu...
 
Tunaomba ushahidi wa unayoyasema ili mjadala unoge. Hatuwezi kujadili mambo ya kufikirika.
 
baadaye watoto wa makabwela watakuwa watumwa kabisa wa watoto wa wakubwa kwan so far ni tabaka la wenye nacho na wasio nacho!
 
Je wewe unamkakati gani wa kuwaandalia watoto wako njia bora
mwambie umaskini huanzia kwenye akili za mtu sasa ww unajaribu kujipa moyo na maandiko ya biblia unatoa tafsiri isiyo sahihi KIKWETE alizaliwa familia maskini leo ni rais wako mimi naweza pia wewe je?
 
Kikwete katoka ktk familia ya kichifu.na viongozi wengi ndio walipotoka pia.

Na hili la watoto wa vigogo ki kweli wengi ni vilaza kwani tumesoma nao ila vyeo vya wazazi ndio vinawapa nafuu.

Changes ni mimi bt vikwazo ni vingi sana.ukianzisha biashara wao ndio wamejaa kwenye maofisi ya usajili.mikopo bank wao ndio wamejaa daah ....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom