Watoto wa uswazi pasua kichwa

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
94f014832364a23d177b9287593e9cd6.jpg
 
Hapo si ajabu katembea na gari umbali mrefu mpaka anaimaliza hiyo fanta,shughuli ipo kwenye kurudi home maana hapo tumbo ni ndi ndi ndi (siyo ya jide lakini).
 
Huyu naye amezidi, enzi zetu tulichojua vizuri ni kukwepa tu mijibwa ya majirani na kukwea miembe, mipera na miparachichi ya wenyewe. Wala hatukuwa tunabeba chochote, tulikuwa tunayafanyia haki tukiwa huko huko juu ya miti kama ngedere. Tukishashiba misheni ni hadi kule mtoni kuwachungulia kina antii wakioga. :D:D:D
 
Back
Top Bottom