Refer kapuya na mengi, unaoa vizuri kabisa.Duh imagine ni mtoto wako utafurahi akiwa na mzee kama mimi? Hii ni kama situation ya mtoto na mwalimu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ILI HESHIMA YAKO ikamilike muonyeshe kua uko tayri booked/taken kesi yake mpe rfk ako wakike yeyote mwambie amkanye kama yeye..nadhani upate mtu anaetuitaga wanaume mafurushi,apambane na furushi lenzie la kike Mtafute comrade Atoto amkanye hilo furushi lisikusumbue.
Atakaposikia kauli toka kwa mwanamke mwenzie naamini akili itamrudi maana hivi viumbe vinajua kuwekana sawa kweli kwa maneno yao wenyewe (wanaajijua)
Nawewe uko ivo kumbeWewe piga tu ...kama Yuko smart piga tu mzee baba ' kisha baada ya hapo mtose
ubwabwa ndo ushaukosa tena..saiz saa tisa hiii hujapata mualiko 😂 😂 😂 Ukialikwa usiende maana utakua mualiko wa kwenda kuosha vyombo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We unataka nimbanie rrondo kula mtoto mbichiiii, wakati mie nataka kula ubwabwa hapa.
Difference ya age itakuwa kama ya Robert na GraceWanafanana na "wazazi wa siku hizi"
Ila nshomile hapo sasa nini haujaelewa? Hebu fanya mambo bwana uvute jiko hilo tule ubwabwa.
Sio zile nini cargo?
Hatimaye umepata mke mkuuKatoto haka
Lakini si walioana?Difference ya age itakuwa kama ya Robert na Grace
Hakuna.....hivi vya umri huu ndiyo vitamu na vjnajituma kitandani balaa..miaka 18-21 bado ni katoto kadogo kananuka maziwa. Achana nako mkuu
















