hukumpiga hata picha mkuu tuone alivyo vaaNilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.
Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)
Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!
Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Aiseeee jf shikamooHuyo ni mtoto au mkubwa mwenzio anajipendekeza zali la mentali limuangukie?
Ana akili timamu tena pengine ni member wa JF anajua wewe ni senior bachelor.
Hapo pengine ushalishwa na kuwekea vitu vya ajabu kaona havifanyi kazi kaamua kuwa aggressive.
Sijui unasubiri nini kumfukuza na red flags zote umezishaona.
Mtoto wa miaka 17 kushuka chiniPacha nina morals siwezi kutembea na watoto.
Ndugu siku hizi uki ishi na kijana wa kiume kama msaidizi wa Kazi na huna mke watu wataisi unamfira kwasababu nyote ni jinsia ya kiumeSasa ndiyo ugundue wao wameumbwa na soni kutongoza kwao ndiyo hivyo. ..
Kinyume chake Wa kiume angebaka au kulazimisha. Kwanini usitafute wa kiume?
Wewe huna kabisa shangazi anayekuja hapo frekwentiliiii
We nae unaonekana unafurahia michezo yake na inakufurahisha haswa ilameamua kulileta humu ili tujue kwamba kuna katoto kanakupelekesha mperampera mikono juu mwendo wa mateka.maana umeulizwa kuwa umelileta humu ili tukushauri au umegoma haya umeambiwa nini cha kufanya bado unagoma sasa amua mwenyewe hukohuko maana unakafuga mwenyewe utajiju nako hukohukoKuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
Kha jaman nimecheka eti ni kakonkiHako ni ka " KONKI" Cha uswahilini, hapo umetegeshwa tiyari, unakuta mama , baba na mashangazi tiyari wameshajua mtoto kapata jiko na hapo unawindwa kwa kila mbinu hata makombora ya kienyeji unaweza kudhani kapo peke yake kumbe kuna jeshi la makungi wapo nyuma yake. Kama ulishaapa eti nitaoa msomi mwenzangu ndivyo baadhi ya watu wamejikuta kwenye ndoa za malimbwata. Ukijaribu kula chakula alichopiga ama ukikubali kakuvulie uonye hilo embe mawazo lake umekwisha.
Sawa baba parokoMtoto kulinganisha na mimi, sio kisheria.
Hahahahahahahahahahahahahahaha jf sihami eti una cheti chake cha clinicKwani una cheti chake cha clinic? 18-20 ana utoto gani? Hata sheria zinamtambua ni mtu mzima huyo.
Hako ndio kazuri, unakakuza taratiiibu huku mnakula mafao.
Kwa kweli dunia imeharibika, siku hizi hata ukienda gesti watu wawili wa jinsia moja hamruhusiwi kupanga chumba kimojaNdugu siku hizi uki ishi na kijana wa kiume kama msaidizi wa Kazi na huna mke watu wataisi unamfira kwasababu nyote ni jinsia ya kiume
Umri wa 20 hana aibu kukuonesha hizo dalili, aogopi in case ukimwambia mama yake kuwa tabia yake sio nzuri? Mmh!So sad kwamba?
Wewe mhaya au mzaramo?We nae unaonekana unafurahia michezo yake na inakufurahisha haswa ilameamua kulileta humu ili tujue kwamba kuna katoto kanakupelekesha mperampera mikono juu mwendo wa mateka.maana umeulizwa kuwa umelileta humu ili tukushauri au umegoma haya umeambiwa nini cha kufanya bado unagoma sasa amua mwenyewe hukohuko maana unakafuga mwenyewe utajiju nako hukohuko