Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Fanya uoe tu
 
Hakuna.....hivi vya umri huu ndiyo vitamu na vjnajituma kitandani balaa..
We sema tu vile jamaa hataki..

Lakini huyo ni mbuzi kafia kwa muuza supu...kazi hapo ni muuza supu tu kubandika chungu jikoni...
😂😂😂
 
Kaka kama katoto chapa fimbo ila kama kanalipa tembeza komredi bro
 
Mkuu nakushauru uoe
Au ulete mwanamke hapo hata siku2 halafu uyo binti aje awafanyie kazi ajiongeze.
Njaa zitatuua sidhani kama umri wako na wake unaendana
Huyu mtoto unafikiri hajaona mhusika?! Sijui ana akili gani.
 
Mkuu nakushauru uoe
Au ulete mwanamke hapo hata siku2 halafu uyo binti aje awafanyie kazi ajiongeze.
Njaa zitatuua sidhani kama umri wako na wake unaendana
akili za panzi kanaoneka hakawezi acha kujilengesha hata akileta wife pale
 
Mkuu Baba RRONDO wanasema hakuna Beki 3 mgumba kaka, wahenga wanasema papo kwa papo Kamba hukata jiwe ipo siku uzalendo utakushinda, siku moja moja shemeji awe anakuja hapo ili aone tiyari upo booked.
Hajali ashamuona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom