Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,098
Mhhhhhhhh!!!! acha utani!!!Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
Mhhhhhhhh!!!! acha utani!!!Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
.Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.
Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)
Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!
Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Dooh, siyo kila tundu ni la kupita mkuu [emoji3] [emoji3] mengine hayafai Kwa matumizii[emoji16] kwani haitopita ?
[emoji16] shauri yake kama ataki kutoboa kwenye tunduDooh, siyo kila tundu ni la kupita mkuu [emoji3] [emoji3] mengine hayafai Kwa matumizii
😛😛😀😀😀😀😀😀 acha uondoke tu mkuu msala wake ni zaidi ya huo mnofu kesho jamaa ata kuja na thread wife kabeba kila kitu ndani kasepa kamwacha yeye na mnofu wake😛😛😛[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
ama kweli....mnofu unaondoka hivi hivi
haya niliyekulia uzaramoniWewe mhaya au mzaramo?