Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

Bro miaka 20 kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani ni mzima mwenzako...hata ukiamua kutangaza ndoa....tutakuchangia bila kinyongo..

Anyway...hapo ni kumgegeda au kumkanya hadharani na kumuonyesha ni namnangani hupendezwi na tabia zake..

Options hapo ni mbili...unaweza kuchagua yenye urahisi kwako...

Ila..dah...mbuzi anafia kwa muuza supu halafu hubandiki chungu jikoni..???
Baharia Anatuangusha
 
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
piga pumbu weww
 
Huyu anachomoa betri muda si mrefu... TENA TERMINALS ZA BETRI UTAMWONYESHA WEWE MWENYEWE...
 
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!

Numekupenda msimamo wako..nashangaaga sana men atembee na beki 3 au mwanamke atembee ba housboy au driver wake .huyo soon atajilengesha umnanih8i baada ya mqwz anakuambia nna mimba! kimbembe atataka ahamie kbs..fukuza kbs km unawwza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom