lakini mbona awapati taji la Miss Afrika? hayo ni maumbile mazuri kwa watanzania tuu ingekuwa watanzania ndio majaji wa mashindano wageshika nafasi ya kwanza....
<br />
<br />
CRAP CRAP. WENYE MVUTO NI HAO WANAUME WAWILI WENYE NYWELE ASILI ZA MWAFRIKA. Kuna thread mahali fulani humu JF inayopinga sana uvaaji wa "artificial hair"kwa wanawake wa Kiafrika.