watoto wa kinyarwanda wanamvuto!

Rwanda ina makabila mawili tu makubwa, Wahutu na Watusi lakini unawasifia hivyo, nadhani nchi ka TZ yenye makabila zaidi ya 120 ina wide selection of Dadas hao uliowaona kutoka familia moja huko Rwanda. Kipende chako, zunguka mikoa yote ya Tz uone kama hautasau hao wa Kagame. Halafu ukumbuke kuwa kila mtu ana vionjo na type yake, wewe inaonekana hizo slim ndio type zako.
 
mmm!!mbona hata dada zetu wa kibongo funiko kuliko hawaa banaaaa
 
Jamani leteni picha ya huyu binti akiwa amesimama, mpaka sasa nampa kiwango juu ya wastani.
attachment.php
 
Hao Warwanda si wote wanamvuto ,ni baadhi tu kama ilivyo na huku bongo,katika kila Taifa au Kabila huwezi kosa warembo
 
Mungu wangu... Nisamehe baba kwa tamaa zangu. Kidogo tu....!
<br />
<br />
crap crap. Wenye mvuto ni hao wanaume wawili wenye nywele asili za mwafrika. Kuna thread mahali fulani humu jf inayopinga sana uvaaji wa "artificial hair"kwa wanawake wa kiafrika.
 
Back
Top Bottom