Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,028
Acha unaa.
Utoto unaishiq miaka mingapi na hao wana miaka mingapi?Wasalaam
Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Tabia iko ndani yao mageti yanakuwa nje yao hakuna uhusiano hapo,kama umenielewa lknWasalaam
Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Ndo raha ya chuo, wee kuwa buzzy na academic values, hayo ya tabia binafsi havihusiki.Chuoni wewe pasua tu mitihani yao,mengine hayawahusu! Hata Saut chuo cha waghalatia hawana mambo ya ajabu ajabu,paper zao zipige,assignment Fanya,test fanya, quiz zao bomoa,UE piga, sasa watakushikia wapi??
Ni kweli huwa hatupendi utumwa kufugwa ni utumwaKunguru hafugiki.
Hao siyo wanafunzi wa Chuo. Ni ajira mpya kwa jina la “mimi mwanachuo”. Fanya utafiti huko uliko.Wasalaam
Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Wakiwekewa mageti waheshimiwa wabunge watakula nini na hawa mademu watawaroga kina nani ili wawekwe mjini?Wasalaam
Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Kweli kabisa, tunawala sana hawa kuku wa kizungu haswa ikifika January wanaporudi likizo na njaa zao. Chapati moja tu na chai ya rangi au pakti ya ubuyu wa Zanzibar unajipigia mwana chuo kiulainiiiiii. I can't wait for January to come.Hao siyo wanafunzi wa Chuo. Ni ajira mpya kwa jina la “mimi mwanachuo”. Fanya utafiti huko uliko.