Watoto wa jirani niwafanyaje?

Wamevunja mkuu!
Weka mlango wa grills, na pia jenga kwa tofali hicho choo! Kama uko mkoani jengea tofali za kuchoma kama uko dar jengea tofali zetu za mchanganyiko wa mchanga na cement(blocks) inch tano! Hiduma zote natoa kwa hapa dar nafanya kazi ya grills , aluminium na bidha zote za mbao na ujenzi wa kisasa kwa ujumla mahali popote tunakufikia kwa Tanzania hii
 
Sawa nashukuru sn
 
Kifunge ufungue u kit aka kuingia tu. Hii ni lack of activities kwa watoto wakiwa board wanafanya vitu vya ajabu. Kama muda huo wangu tu Mia na kocha me chi za mchangani si tungepata wakina Samatta wengine jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…