Watoto wa jirani niwafanyaje?

Umezidi uchoyo hadi kutumia chip unawakatalia. Wamekupongeza kwa kuwa na choo kizuri.
 
Kama hawa ndo watoto wa jirani yako wamefanya hivi choo chako cha nje utawafanyaje?

3857b4f6a40ebbc67d383d89384b24b1.jpg
Hao watoto ni wa kupongezwa wamefanya hivyo ili kulinda usalama wa watumiaji,maana choo chenyewe si salama kwa matumizi ya binadamu,
Tafuta fundi akijenge upya kabla hakijaleta madhara
 
Ooh poleo cha msingi ni kuwadhibiti kwa kupafunga na kuwaelekeza pia kuwa hayo si maeneo salama ya kucheza
 
Weka mlango wa grills, na pia jenga kwa tofali hicho choo! Kama uko mkoani jengea tofali za kuchoma kama uko dar jengea tofali zetu za mchanganyiko wa mchanga na cement(blocks) inch tano! Hiduma zote natoa kwa hapa dar nafanya kazi ya grills , aluminium na bidha zote za mbao na ujenzi wa kisasa kwa ujumla mahali popote tunakufikia kwa Tanzania hii
Lipia Tangazo aroo
 
Back
Top Bottom