RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,734
- 11,461
Tanga...
Ndiko tunakolazimishwa na Dunia ya Leo. Kabla hatujafika huko Maombi yangu nimpate mtoto wa geti kali anayejua mapenzi ya kweliInabidi tukubaliane na matokeo tu maana kuna mistakes zilisha tokea na ndio matokeo yake haya sasa.
Ikibidi tuachane na mapenzi tutafute uzazi tu ili kuendeleza maisha, maana wenzetu wanachotufanya hata hamu ya maisha hatuna tena.
So sad to even to imagineNafikiri hii ndio point ya msingi. Kifupi mkuu bado haujapata anayekupenda kikweli
Demu kama hajakuelewa atakachokuwa anataka ni pesa yako tu na ndio kilio chako kwenye huu uzi uliondika. Na hii ndiyo hali unayopitia kwa sasa
Wanawake 95% niombaomba, kidogo wapo ambao sio ombaomba nahao kwao wanamaisha duni lakini wanaridhika na dhiki walizonazo.Ati mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?
Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?
Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.
Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.
Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.
Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.
Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.
Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.
Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Mkuu karudie kusoma Uzi umejifafanua. Usiendekeze hizo insecurity zako za hulka ya kidangaji kuwa ni Bora ulie machozi kwenye Benz kuliko penzi tamu kwenye bodabodaAti mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?
Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?
Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.
Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.
Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.
Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.
Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.
Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.
Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Wapo mkuu ?Tanga...
Mkuu maombi yangu nimpate mmoja afaidi urithi nilioachiwa. Unakuta demu mzurii akili zote kama kinda la ndege lilishwe TU . Linabugia mpaka mjegeje ilimradu liwe na uhakika TU limeona mhamala unaotembeaWanawake 95% niombaomba, kidogo wapo ambao sio ombaomba nahao kwao wanamaisha duni lakini wanaridhika na dhiki walizonazo.
Kwani wewe uko uliko unamdangia huyo jamaa?Eeeeeh kwaiyo mm nitakula hayo mapenzi.....
Kuna mmoja nilimuuliza kwaiyo nikiachana na huyu wewe utanipa nn????? Lipo nitakupa mapenzi, nikawaza mtu mwenyewe mbele uendi nyumba hurudi mxiuuuuuu
Eeeeeh kwaiyo mm nitakula hayo mapenzi.....
Kuna mmoja nilimuuliza kwaiyo nikiachana na huyu wewe utanipa nn????? Lipo nitakupa mapenzi, nikawaza mtu mwenyewe mbele uendi nyumba hurudi mxiuuuuuu

Lakini mkuu si uende kwa wasiokua ombaomba?Kwani wewe uko uliko unamdangia huyo jamaa?
Hela ya kula haijawai kuwa tatizo . Issue ni hulka ya kuhudumiwa Kila kitu as if umeo kiwete . Bogus kabisaaaa. Unakuta litoto lizuriii ila tabia hata kuinusa hutamani
Hapo ndo kipengele, unampata wapi? Yote yanafanana. Unakua mtu wa kudate demu mpya kila mwezi .Lakini mkuu si uende kwa wasiokua ombaomba?
Sasa mkuu unahitaji upewd nini zaidi ya mapenzi?.Eeeeeh kwaiyo mm nitakula hayo mapenzi.....
Kuna mmoja nilimuuliza kwaiyo nikiachana na huyu wewe utanipa nn????? Lipo nitakupa mapenzi, nikawaza mtu mwenyewe mbele uendi nyumba hurudi mxiuuuuuu
95% ombaomba hio 5% ndio sio ombaomba kwahio kukutana na wanawake ambao sio ombaomba ninadra Sana kwa maana nyingine nibahati Sana.Lakini mkuu si uende kwa wasiokua ombaomba?
Wapo wengi hujatafuta vizuri tuHapo ndo kipengele, unampata wapi? Yote yanafanana. Unakua mtu wa kudate demu mpya kila mwezi .
Sasa mnavyolalamika ndo nini? Kama hao 5% ni ndogo jifunze kuishi na hao ombaomba. Kulalamika ni kukataa uhalisia.95% ombaomba hio 5% ndio sio ombaomba kwahio kukutana na wanawake ambao sio ombaomba ninadra Sana kwa maana nyingine nibahati Sana.
HAPA NDIO BOMU LA TAIFA LIMETEGWAMpaka uuone upendo, otherwise ni makasiriko tu. Unakuta toto zuri halina kingine Cha kutoa zaidi ya utelezi