Siku hizi huku nidham shuka sasa watoto wa Fb mnayeyusa bana maada hazieleweki zingine hazina hata madili kama lilivo jina letu "GREAT THINKERS" Watoto wa secondari someni kwanza bana aya huku hatutaki fujo
Hawataweza,kwani huku hakuna ku update new photo,walizopiga kwenye birthday zao,huku full id fake ndio mpango!