Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,890
Hata mimi nashangaa wanawake hawatupishi sisi wanaume kwenye viti vya mabasi/ daladala.Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Watoto kupata huruma ni uzungu?Acha uzungu wewe
Huku mjini mtoto ni uliyemzaa,Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Mkuu mbona umeeleweka kabisa, hata ungeandika sh. 50 tulishaelewa kuwa mwanafunzi analipa hela ndogo kuliko mtu mzima. Achana na hao wanaotaka kuleta ubishani pasipo na ubishi. Ndio hao hao wanaoinua watoto wadogo kwenye siti ili wakae wenyewe.Niko bongo ila mara ya mwisho najua nauli ya mwanafunzi ilikuwa 100. Kwani bei gani?
LIFO &FIFO accounts sidhan kama accounts wanaisoma sana deep kama watu wanaosoma procurement daa hiZi fifo na lifo Zilinitesa enzi nipo chuo daaah tuuu haaahaateh teh teh mkuu na wewe umepiga ICT au Accounts aiseee??.
Hizo algorithms lazima ubenane nazo tu
heheUkitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Rohombaya kumbe una roho nzuri sometimesDah... Miye mwenyewe nikiwa kwenye mwendokasi huwa nawapisha watoto wakae kwanza
ha ha haL
LIFO &FIFO accounts sidhan kama accounts wanaisoma sana deep kama watu wanaosoma procurement daa hiZi fifo na lifo Zilinitesa enzi nipo chuo daaah tuuu haaahaa
Mabasi ya mwendokasi yana designated area kwa disable na wamama wenye pram....lakini wabongo nahisi hata waendesha mradi wa hayo mabasi hawazijui zile siti kwanini zimewekwa tofauti.Wazee above 60 na handicap watengewe viti vyao na viwekwe alama kabisa
Ndivyo nchi za wenzetu wanavyo fanya!
Hahaa sio LIFO.!Zama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)
Zama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)