Kwani watoto hawastahili kukaa?Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Mlizoea kuwanyanyasa kwenye daladala. Unakuta mtu wa miaka 24-40 ana afya nzuri tu anakubali kukaa kiti anachonyanyuliwa mwanafuzi wa darasa la tatu aliekaa shule siku nzima kachoooka!!! Na wewe na utu uzima wako unakaa kisa wewe umelipa 400 mwanafunzi kalipa 100, mtakoma sasa hiviatainuka mwanafunzi kwa heshima na sio kwasababu analipa nauli ndogo.Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.
Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Yaani hawana utu kabisa watu wengine. Unakuta mtu mzima na afya yake anakenua tu mtoto wa darasa la tatu anainuliwa akae yeye!Hv mtoto na MTU mzima yupi anaweza kuvumilia kusimama?daah wabongo umwinyi kila kona!
Mkuu huku kajamba nani alielipa nauli kubwa ndio anakaa....utashangaa kitoto cha la kwanza kinainuliwa akae mtu wa 25yrs kisa nauli yake kubwa.Kwani watoto hawastahili kukaa?
Mimi naona kwenye subway watu wazima wanapisha watoto. Kwa fikra kwamba watu wazima wanaweza kustahimili kusimama kuliko watoto.
upo nchi gani ?Mlizoea kuwanyanyasa kwenye daladala. Unakuta mtu wa miaka 24-40 ana afya nzuri tu anakubali kukaa kiti anachonyanyuliwa mwanafuzi wa darasa la tatu aliekaa shule siku nzima kachoooka!!! Na wewe na utu uzima wako unakaa kisa wewe umelipa 400 mwanafunzi kalipa 100, mtakoma sasa hiviatainuka mwanafunzi kwa heshima na sio kwasababu analipa nauli ndogo.
Niko bongo ila mara ya mwisho najua nauli ya mwanafunzi ilikuwa 100. Kwani bei gani?upo nchi gani ?
tena kuna mwingine mtoto akisimama halafu akamuegemea,anamkemea mtoto km kamkojolea au kamuomba nauli vileYaani hawana utu kabisa watu wengine. Unakuta mtu mzima na afya yake anakenua tu mtoto wa darasa la tatu anainuliwa akae yeye!
nauli 100 afrika bado hatujaandaa kombe la duniaNiko bongo ila mara ya mwisho najua nauli ya mwanafunzi ilikuwa 100. Kwani bei gani?
nauli 200Niko bongo ila mara ya mwisho najua nauli ya mwanafunzi ilikuwa 100. Kwani bei gani?
Kwa nini tunafikiri mtoto hastahili kukaa kwenye kiti?Maadili yameporomoka ndugu yangu! mie hata kanisani kwetu huwa ninashangaa mama kaja na mwanae amekaa naye, akija mkubwa, wasimamizi wa kanisa wakimwambia mtoto aende kukaa sehemu ya watoto ampishe mkubwa, mama mtu anakuwa mkali, "hebu mwache mwanangu, yaani amewahi kiti halafu umtoe kisa huyo aliyechelewa" sasa huyu mtoto unategemea awe na adabu ya kupisha wakubwa kiti?
Duh nimekumbuka 200/-.nauli 100 afrika bado hatujaandaa kombe la dunia
Zama za ujamaa zimepitwa na wakati.
Aliyewahi ndiye akae, ukichelewa simama.
First In First Out (FIFO)