MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 708
Hello good people.
Leo nimeonelea tufanye jambo apa kwa kuwapa somo Hawa wadada wa Leo ambao wanajichukulia special sana hasa kwa hivi vizazi vya 2000 na hiki kipya cha 2010
Hawa watu ni walimbukeni sana wa utandawazi na mahusiano.
Hawa wanichukulia mahusiano ni bihasha. Kibaya zaidi wao wanajiona wapo mbele ya muda na technology.
Hawa wanaamini kila mwanaume wanaweza mtimizia katika tendo. In short hawa ni kizazi kipya cha revolution ya prostitutes ambao wapo sokoni yaani night clubs, bars na mitaani.
Itoshe kusema Hawa watu watachuja mapema sana maana wanashemyentwa haswa na wao wanaona ni fashion kuwa na wanaume msululu.
Niwakumbushe tuu nyie watoto, hata enzi za Sodoma na Gomora kizazi chenu kilikuwepo na kilipata adhabu Kari ya moto, enzi za Nuhu kizazi chenu kilikuwepo, kiliambjlia mafuriko. Dunia haiitaji speed mliyonayo otherwise mtaishia kuchuja na kuwa mashangazi katika umri mdogo.
I'm out.
Wenu MjukuWaBabu.