fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,764
- 2,742
- Thread starter
- #21
Wamejipata mkuu pesa kidogo inachelewesha uzee.Enzi hizo wakati nauangalia huu wimbo nilikuwa namuona Juma Kakere mzee na Sinta Mkubwa ila kwasasa naona Juma Kakere bado Kijana Sana na Sinta Mbichi wa moto sana.
Watoto wa 2000 TVT - Ndiyo TBC sasa Televisheni ya Taifa.