Wapo wanaume wengi wanaoridhika na K moja...Wanawake, Ombeni na kusali kwa Mungu wenu, usiku na mchana
Mungu awape hekima na Maarifa ya kumtambua mume atakae kupenda na asifikilie K nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaume wengi wanaoridhika na K moja...
Mwanaume kuchepuka ni kuamua tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi inakuwa hivooMaudhuhi ya picha hapo juu, inaonesha mchepuko anapewa vingi, familia kiduchu.
Unazungumzia nn swala hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji1787] mchoyo weweHapo naichukua hiyo nyama naipika biliani hatokula siku hiyo.
Hatokula vyakula vyote?Hapo naichukua hiyo nyama naipika biliani hatokula siku hiyo.
🤣🤣🤣🤣Yaani siku hiyo atakula harufu nitahakikisha nalipika kwa ufundi mkubwa.
Mara nyingi inakuwa hivoo
Na hii inatokana na kuchokwa, mwanaume anayefanya hivi ( kutafuta mchepuko) ni kuwa anakuwa hakupendi tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote mkuu siku hiyo hakuna msamaha haiwezekani vitamu ale mchepuko.
[emoji23]jitahidi usiibiweVyote mkuu siku hiyo hakuna msamaha haiwezekani vitamu ale mchepuko.
😂😂😂😂😂
Hawachi nahisi mwili wako ni mnene sio mwembamba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani siku hiyo atakula harufu nitahakikisha nalipika kwa ufundi mkubwa.
Why mkuu 😅😅😅
Sio mnene pia sio mwembamba.