Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,809
- Thread starter
- #81
Haya madeni ya kausha damu ni hatari, mzee ERoni na secretarybird njooni mumfariji binti!Mwakani sitaki kukopa kabisa vicoba
Haya madeni ya kausha damu ni hatari, mzee ERoni na secretarybird njooni mumfariji binti!Mwakani sitaki kukopa kabisa vicoba
Umekosa vidole Coca anavyovipenda?Kabisa mkuu hapa Sina changu
Hizi nyuzi za namna hii ni hatari kweli kweliKabisa mkuu hapa Sina changu
Tuonyeshe tuvione, isije ikawa una sugu mikononi.Ujaona vidole vyangu wewe ntatamani uolewe na mimi
😂😂😂😂 I? Huyu Hawezi kuwa modes abadani.Inaanzia na I
Nishawahi kumpenda mkaka kisa vidole tu na tamu nikampa 😂 😂
😂😂😂😂😂Umekosa vidole Coca anavyovipenda?
Hakuna hatari, labda uje nayo wewe 😅 😂Hizi nyuzi za namna hii ni hatari kweli kweli
😁😁 Vidole Tena hii kaliUmekosa vidole Coca anavyovipenda?
Hebu weka vidole hapa tukuthaminishe 😂😁😁 Vidole Tena hii kali
Amevithaminisha kama vinafaa kunyonywa 😎Oya nilikaa nje hapa ya nyumba yetu ghafla mke wa mtu ambaye mumewe hajibu salamu zangu akapita akavitazamaaa sana vidole vyangu vya mguuu hasa gumba kuna nini hapo😉😅?
Aaah kama ndo alichowaza ni hiko pole kwa mumeweAmevithaminisha kama vinafaa kunyonywa 😎
Uje uvione tusimwage Mchele kwenye kuku wengiHebu weka vidole hapa tukuthaminishe 😂
Kesho kutwa tutawaambia masikio - hatuwaachi mpaka mchanganyikiwe.
Kwanini wewe na mumewe hamsemezani?Aaah kama ndo alichowaza ni hiko pole kwa mumewe
Okay, Miss Natafuta umempata umtafutaye, naye ni Mimi 😎.Haya madeni ya kausha damu ni hatari, mzee ERoni na secretarybird njooni mumfariji binti!
Unaenda kulewa na leo?Hali imeshaharibika acha nijisogeze hapo kitambaa cheupe tu isiwe kesi.
Daaah nimecheka sana 😂 😂 haya pambana na uchachu wa limao mkuu!Uyo Mchaga ni wife material Sema basi tu nimechelewa kukutana Naye kanikuta Wakati ambao life imenipea Lemon na Sina blender ya Kufanya Lemonade