KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Ujaona vidole vyangu wewe ntatamani uolewe na mimiThubutuuuuu!!!
Ujaona vidole vyangu wewe ntatamani uolewe na mimiThubutuuuuu!!!
Rhabhekhaaaa!!Yesuu🤭
Wee em sema kweliii??Ujaona vidole vyangu wewe ntatamani uolewe na mimi
Hahahaha we njoo PM uone utaolewa Bila mahariWee em sema kweliii??
Bado ndiyo maana naipambania kwako.
1. Ba tamu hanipi kile mie nahitaji, anasingizia majukumu mengi eti, 😂😂😂😂😂Mahi unakata nusu mwaka 😅 nini shida?
Ila wewe 😂😂😂
Mimi pia daaah, wanaume wenye vidole na kucha safi ni 👌👌😍😍😍😍😍
Sitii neno hapa 😅
Haya karibu mida yetu ya kujidai.
Ila kuna mkaka humu huwa anakuita "meji" halali, hata ukishtuka saa 10 usiku unamkuta, au ni moderato?
😂😂😂😂😂😂Hahahaha we njoo PM uone utaolewa Bila mahari
Alikupa ufundi gani huyo mchaga?1. Wiki Tatu zilizopita Kabla sijakimbilia Ughaibuni Kuna Mchaga nilimpata aisee Mweupe ana Tako na fundi balaaa.
Mnakulaga mpaka ndugu zenu 😅2. Kuna ndugu Yangu nusu nimtongoze nikaogopa tu wazazi wakijua Máana kakulia home
Hahahahah au sio mkuuwewe hujajibu maswali haoNinachokukubali bro ni muwazi huna moja kwenye mbili 😆
😅😅Hali imeshaharibika acha nijisogeze hapo kitambaa cheupe tu isiwe kesi.
Sikumla niliishia kumtamani Tena ni Enzi za ujana saizi nimezeeka sana. Uyo Mchaga ni wife material Sema basi tu nimechelewa kukutana Naye kanikuta Wakati ambao life imenipea Lemon na Sina blender ya Kufanya LemonadeAlikupa ufundi gani huyo mchaga?
Mnakulaga mpaka ndugu zenu 😅
Nataka nijidakie binti mmoja mdoogooo awekewe hii mali nzimaKwahiyo kichupa kiko full
Wapo wanaoolewa na wana matako makubwa hata hapa ninapoishi wameolewa na wana matako makubwa, mwenye mke wake hanisemeshi kabisa hata nikimpa salamu hajibu😅😅, in short navutiwa na tako la demu kwenye nguo ila akiwa mtupi sipendiKwani tako linachukuliwa kawaida? humu kila mtu analiongelea, cha kushangaza ukiangalia wale wanaoolewa hawana makalio makubwa, mnapenda kuyatazama tu, au?
Mihemko haikati ila najikeeep busy kidogo lakini wapiiu wacha nidake binti ndogo ndogoHongera kwa kuacha, kwahiyo sasa hili unafanyaje? au mihemuko imekata?
Pole, hii huwa jau sana1. Ba tamu hanipi kile mie nahitaji, anasingizia majukumu mengi eti, 😂😂😂😂😂
Ushamjua yupi, maana nawaonaga wapo wa kitosha wanakuita hivyo.Huyo Mejiii itakua ni modes, 😂😂😂😂
Hawajuagi tu vinavyotudatishaEwaaah vidole viwe virefu, kucha safi na vinapendeza, hisia nawazaga akiwa anapima grease.
😂😂😂😂😂
Amekimbia swali kumbeeeeFuata mfano wa Xiao qui shui na ujibu maswali kwanza.
Ukimaliza ndiyo ulete malalamiko 😏
Mzushi sana!Amekimbia swali kumbeeee
Huyo mejiiii, ni yupiii? Taja herufi ya IDPole, hii huwa jau sana
Ushamjua yupi, maana nawaonaga wapo wa kitosha wanakuita hivyo.
Hawajuagi tu vinavyotudatisha
View attachment 3519770
Inaanzia na IHuyo mejiiii, ni yupiii? Taja herufi ya ID
Nishawahi kumpenda mkaka kisa vidole tu na tamu nikampa 😂 😂Ewaaaah vidole hivyo hapo, 🔥🔥🔥