Watoto kike waliodhulumiwa kimapenzi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,681
2,000
inawezekana kabisa ni coicedence au nimepangiwa kuishi kwenye jamii ya kipato cha chini ili nishuhudie haya yote, kuna mabinti madogo mno under 15 wanafanyiwa mambo ya kifirauni na wanaume washenzi ambao wengi wana mabinti kama hao, mabinti darasa la tano tayari anajua kulala na mwanaume!!! tunaipeleka wapi jamii??? wanazalishwa wanakosa fursa za kufurahia usichana wao, tunawakosesha fursa za kutimiza ndoto zao!!! anakuvulia chupi lakini usoni amejaa sononi, hana furaha na anaumia kimyakimya, tunaumba kizazi cha malipizi
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,367
2,000
Wazazi/walazi wanamchangu mkubwa kumjenga au kumbomoa mtoto kimaisha. Kutatua tatizo inabidi ianzie kwenye familia.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,062
2,000
Hivi wazazi au walezi wa mabinti wadogo kama hao huwa wanakuwa wapi?

Vyombo vye sheria navyo viko wapi kuhakikisha hawa sexual predators wanaangukiwa na sheria bila huruma?

Statutory rapists deserve evisceration, in my opinion.
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,327
2,000
Hapo kabla ya kuwalaumu wazazi wa watoto nawalaumu sana wanaume wanayofanya mambo hayo ni kwa ajili ya nini? Hii ni zaidi ya unyama.

Nina uhakika hawa wanaume wanawalaghai sana watoto wadogo wa kike kwa vitu vidogo sana, kwa kweli sheria inatakiwa ichukue mkondo kwa uharibifu huu uanaoendelea kila siku katika jamii zetu zinazotuzunguka
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,439
2,000
inawezekana kabisa ni coicedence au nimepangiwa kuishi kwenye jamii ya kipato cha chini ili nishuhudie haya yote, kuna mabinti madogo mno under 15 wanafanyiwa mambo ya kifirauni na wanaume washenzi ambao wengi wana mabinti kama hao, mabinti darasa la tano tayari anajua kulala na mwanaume!!! tunaipeleka wapi jamii??? wanazalishwa wanakosa fursa za kufurahia usichana wao, tunawakosesha fursa za kutimiza ndoto zao!!! anakuvulia chupi lakini usoni amejaa sononi, hana furaha na anaumia kimyakimya, tunaumba kizazi cha malipizi

Mkuu inawezekana kabisa kuwa "umepelekwa" hapo na mbingu kwa makusudi kabisa ili ufanye mabadiliko..
 
daman

JF-Expert Member
Nov 26, 2011
210
250
uliyoyaandika ni kweli yapo wazi kwenye jamii bila ya kificho, hii inaonyesha dhahiri kuwa baadhi ya watu wamepoteza sifa za kuwa wanaadam, maana kufanya mapenzi na mtoto umri sawa na mwanao, na wengine hufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa, huko ni kujifananisha na mbuzi. pili familia nyingi zimeshindwa kutoa malezi stahiki kwa watoto, wazazi kushindwa kufuatilia mienendo ya watoto ni tatizo sugu kwa kisingizio cha kuwa busy na kutafuta fedha. ni vyema kila mmoja akatambua wajibu wake ili kujenga kizazi chenye maadili na mwelekeo mzuri wa kimaisha.
 
leonardo da vinc

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,106
2,000
Tunawajibu mkubwa wa kuelimisha jamii tusiiachie serikali pekee kila mmoja anawajibu wa kuchukua hatua linapotokea tukio kama hilo!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,681
2,000
Mkuu inawezekana kabisa kuwa "umepelekwa" hapo na mbingu kwa makusudi kabisa ili ufanye mabadiliko..

kuna kitu sio bure ila nimekutana na binti ambaye kwasasa ana watoto 4 na ana mateso lukuki, alipaswa kuwa form 5 sasa hebu pata picha
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,419
2,000
inawezekana kabisa ni coicedence au nimepangiwa kuishi kwenye jamii ya kipato cha chini ili nishuhudie haya yote, kuna mabinti madogo mno under 15 wanafanyiwa mambo ya kifirauni na wanaume washenzi ambao wengi wana mabinti kama hao, mabinti darasa la tano tayari anajua kulala na mwanaume!!! tunaipeleka wapi jamii??? wanazalishwa wanakosa fursa za kufurahia usichana wao, tunawakosesha fursa za kutimiza ndoto zao!!! anakuvulia chupi lakini usoni amejaa sononi, hana furaha na anaumia kimyakimya, tunaumba kizazi cha malipizi

Waliambiwa ni kiherehere chao! Ni mkuu wa kaya.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,681
2,000
uliyoyaandika ni kweli yapo wazi kwenye jamii bila ya kificho, hii inaonyesha dhahiri kuwa baadhi ya watu wamepoteza sifa za kuwa wanaadam, maana kufanya mapenzi na mtoto umri sawa na mwanao, na wengine hufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa, huko ni kujifananisha na mbuzi. pili familia nyingi zimeshindwa kutoa malezi stahiki kwa watoto, wazazi kushindwa kufuatilia mienendo ya watoto ni tatizo sugu kwa kisingizio cha kuwa busy na kutafuta fedha. ni vyema kila mmoja akatambua wajibu wake ili kujenga kizazi chenye maadili na mwelekeo mzuri wa kimaisha.

daman mchango wako ni mzuri
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,439
2,000
kuna kitu sio bure ila nimekutana na binti ambaye kwasasa ana watoto 4 na ana mateso lukuki, alipaswa kuwa form 5 sasa hebu pata picha

Ila mkuu hapo sidhani kama ni issue ya kipato cha chini tu.. inaonekana hilo eneo kuna serious moral decay. Wanahitaji kuelimishwa kabisa...
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Hizo ni laana ambazo zitakujakupropagate kwenye kizazi chako mwenyewe.
Hata hao wazazi wa hao watoto huwezi jua waliwafanya nini watoto wa wenzao.
Kisha wazazi kutokuwa na muda mzuri na watoto wao na kutowajali.....
 
Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
inawezekana kabisa ni coicedence au nimepangiwa kuishi kwenye jamii ya kipato cha chini ili nishuhudie haya yote, kuna mabinti madogo mno under 15 wanafanyiwa mambo ya kifirauni na wanaume washenzi ambao wengi wana mabinti kama hao, mabinti darasa la tano tayari anajua kulala na mwanaume!!! tunaipeleka wapi jamii??? wanazalishwa wanakosa fursa za kufurahia usichana wao, tunawakosesha fursa za kutimiza ndoto zao!!! anakuvulia chupi lakini usoni amejaa sononi, hana furaha na anaumia kimyakimya, tunaumba kizazi cha malipizi

Bila uwepo wako hapo na katika mazingira hayo tusingeyajua, bora uko mwazi na wenye kushuhudia wajaribu kuwaepusha na wahaya hao.
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Hivi wazazi au walezi wa mabinti wadogo kama hao huwa wanakuwa wapi?

Vyombo vye sheria navyo viko wapi kuhakikisha hawa sexual predators wanaangukiwa na sheria bila huruma?

Statutory rapists deserve evisceration, in my opinion.
Ukisikia michango ya wazazi au walezi wa hao watoto kwenye hili utashangaa!!
Mtoto wa umri huo anajinunulia mahitaji yake sambamba na kupeleka mahitaji kama chakula na mavazi kwa wazazi/walezi hasa kina mama na vinapokelewa. Wewe jirani tu utoke utokako ukamuonye huyo bint atakuelewa?
Umaskini ni mbaya sana!!!
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,795
2,000
Yaani we acha tu,bora hata uanzie form three na four hao wanajua kidogo wanalofanya
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
Binadamu wa sasa hatuna aibu tna tumekuwa watu wa kupenda maovu kuliko mema
Cjui tatizo ni ulimbukeni au ndo tumekuwa unsound mind cos of technology
Wazazi/ walezi / jamii tukumbuke wajibu wetu wa kulea watoto katika mienendo mema impendezayo Mungu
 
Jonah

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
585
500
Wanasikitisha cha msingi wanatakiwa wajithamini wasijiachie.Ukiangalia huyo ambaye ana watoto wa4 mpaka sasa na inaonesha bado hajaolewa tatizo sio kipato kidogo.Ujauzito wa kwanza inawezekana ikasemekana ni bahat mbaya,wapili,tatu na nne hajajifunza tu? Mi nadhan tatizo ni kutojithamini hata kama ana maisha magumu kiasi gan asingeruhusu kujiachia na kuzalishwa watoto wote hao.Na tatizo jingine ni elimu ya jinsia hawana,hii ingewasaidia kukwepa mimba
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,681
2,000
Wazazi/walazi wanamchangu mkubwa kumjenga au kumbomoa mtoto kimaisha. Kutatua tatizo inabidi ianzie kwenye familia.

wazazi na walezi pia wanahusika sana, nilishawahi ona kuna familia mlo wao ni mmoja, tena ni ugali tuu, halafu kila mtoto ana mboga yake mkononi, mwingine kipapatio, mwingine kisamaki, mwingine nyanya nk, unafikiri wanaumba jamii gani hapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom