Watoto kike waliodhulumiwa kimapenzi

Watoto kike waliodhulumiwa kimapenzi

Mkuu inawezekana kabisa kuwa "umepelekwa" hapo na mbingu kwa makusudi kabisa ili ufanye mabadiliko..

najitahidi mno kufanya ninaloweza, financially morally n spiritually lakini si kazi rahisi hata kidogo, unampa binti kilo ya unga, sukari sabuni na elfu tano halafu humwambii chochote anakushangaa kweli, anakuona huyu baba vipi? hawajaonja upendo katika maisha yao, kwao upendo ni malipo
 
duuuuh majanga kwa hali ya hivi huko tuendako kizaazaa

tunatengeneza kizazi kisichojua upendo huruma wala kusamehe, maisha yao tangu utotoni ni mashaka matupu, wamekuwa ni watumwa wa ngono, wamebebeshwa majukumu kabla ya umri, wanazeeka bado wakiwa ni wadogo kabisa
 
Hivi wazazi au walezi wa mabinti wadogo kama hao huwa wanakuwa wapi?

Vyombo vye sheria navyo viko wapi kuhakikisha hawa sexual predators wanaangukiwa na sheria bila huruma?

Statutory rapists deserve evisceration, in my opinion.

kuna wazazi ambao wenyewe kwanza ni tatizo, ikifika wanawaombea watoto wao kwa jirani sehemu ya kulala, yatakayotokea huko Mungu anayejua pekeyake labda na shetani, uswahilini kuna vitu vingi na vya ajabu sana vingine vinahuzunisha na kutia simanzi mno, jus imagine unakama kabinti kanatoka kichochoroni na libaba kanalia na kuchechemea huku kakimlaani huyo mwanaume kwa kumuumiza na kumdhulumu malipo yake, jamii ipo inaangalia tu
 
Kudhulumiwa kimapenzi. Hiki ni Kiswahili cha BBC na Kenya. Hii ndio tafsiri yao ya "sexually abused".
 
Mabadiliko ni wewe...

"Change begins with you!"
 
unajua kua kuna jambo kama hilo,wewe umechukua hatua gani?au umepost jf na ndo imeishia hapa?
Habari ya Panya road,nlimchek Jerry Silaa na Ridhiwani about hilo jambo kupitia akaunt yangu ya Facebook na kesho yake Jerry alinijibu kua alifikisha ujumbe kwa wakubwa na action imetek place ila Ridhiwani hakunijibu.
Napenda kusema kua tukitaka mabadiliko tusiishie kusema tu JF,tusonge mbele zaid mana sisi ndo wakubadilisha kizazi hichi.Nakushukuru sana kwa habari hii na naomba na wewe utake action na make assumption hao wanaofanyiwa hivo mmoja ni mwanao
 
nimesema tayari i have done my part, but without a helping hand i will end up nowhere
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom