Uhakika wa kwamba angekua mjini angekua anakula raha ungetoka wapi?!Kukaa kijijini kunamkosesha raha ipi haswa kama analelewabila manyanyaso?!Kuona magari?!Huyo baba angemlea mwenyewe nyumbani au angemwacha na mama wa kambo/mfanyakazi?!Una uhakika gani kama ndivyo angelelewa vizuri?!
.
Binafsi nililelewa kijijini na bibi yangu na kaka yangu akalelewa mjini ila sikuwahi kumuonea wivu au na mimi kutaka kuhamia mjini.Na nilipoulizwa nilikataa even though nilikua naenjoy kufanyiwa kila kitu na wafanyakazi nikienda likizo bado niliyapenda zaidi maisha ya kijijini.Sehemu ambayo nilikua huru kucheza barabarani bila kuogopa magari,kucheza na watoto wengine kwasababu hakukua na mageti ya kufungiwa ndani na pia kujifunza vitu ambavyo watu wa mjini hawana muda navyo.
.
Thank you daddy···for everything.
Wewe Babygal hivi bila kuenda mbali.... wewe ungelelewa kijijini completly ungekua na exposure ya kua na access ya JF hapa saizi??
Mheshimiwa Moskwito..........
Kuna tofauti kubwa sana kati ya MAMA na MWANAMKE ALIYEZAA!
Kuachana............! I hate kuachana aisee!...na kweli bana,....utamtambua mke/mume uliyeoana nae kuwa ni mwanamke/ume wa aina gani mkishaachana
Kuachana............! I hate kuachana aisee!
Kuachana............! I hate kuachana aisee!
Uhakika wa kwamba angekua mjini angekua anakula raha ungetoka wapi?!Kukaa kijijini kunamkosesha raha ipi haswa kama analelewabila manyanyaso?!Kuona magari?!Huyo baba angemlea mwenyewe nyumbani au angemwacha na mama wa kambo/mfanyakazi?!Una uhakika gani kama ndivyo angelelewa vizuri?!
Wakati mwingine inabidi kabla ya mama au baba kulilia kukaa na mtoto kwa kisingizio cha nna pesa aangalie kama atakua na muda kweli na huyo mtoto au la.Na kama hatakua na muda je atakaemwachia mtoto ana ukaribu nae kiasi gani cha kuweza kumwamini hata kumwachia mwanae.Huyo unayemwongelea yeye ni kama anashindana tu kwasababu anataka kukomoana na mama mtu.Though sio wote wamama wengi wanajua nini ni bora kwa watoto wao.Na huyo mama nampongeza kwasababu atakua ameona kwamba kwa shughuli zake hawezi kua na mwanae muda mrefu kwahiyo akaamua kumpeleka kwa wazazi wake waliomlea yeye (hivyo anawafahamu vizuri pamoja na malezi yao) wamsaidia na kumpa mtoto nafasi ya kua karibu na watu ambao ni ndugu zake.
Kwa mara nyingine nadhangaa kauliz yako ya ‘mtoto yuko kijijini wakati angekua mjini anakula raha‘ kwasababu raha hazipo kwenye mji au kijiji bali kwenye malezi na mazingira anayokulia mtoto.Binafsi nililelewa kijijini na bibi yangu na kaka yangu akalelewa mjini ila sikuwahi kumuonea wivu au na mimi kutaka kuhamia mjini.Na nilipoulizwa nilikataa even though nilikua naenjoy kufanyiwa kila kitu na wafanyakazi nikienda likizo bado niliyapenda zaidi maisha ya kijijini.Sehemu ambayo nilikua huru kucheza barabarani bila kuogopa magari,kucheza na watoto wengine kwasababu hakukua na mageti ya kufungiwa ndani na pia kujifunza vitu ambavyo watu wa mjini hawana muda navyo.Kwahiyo hiyo dhana ya kwamba mjini ndo kwenye raha ondoa..hamna sehemu zuri ya kukua kama una familia nzuri kama kijijini.Mwenyewe natamani siku moja mtoto wangu apate expirience nilizopata mimi kipindi hicho ambazo nna uhakika maisha ya mjini hayawezi kumpa.
...Asha Dii umeandika ya maana sana hasa hapo penye wekundu,...mahakama kesi inarushwa mpira bana, Mwanamke nae amejizatiti kutumia 'pesa' kuhakikisha haki inacheleweshwa. Ngumu sana mambo haya.
Tofauti ya kimtizamo BabyGal. Mimi sijawahi lelewa wala kuishi kijijini. Vijijini huwa napita tu, na kwa hali niionayo hakunipi chembe ya matumaini kwamba kuna Elimu nzuri, Huduma za Afya za kuridhisha nakadhalika compared na mjini ambako mtoto angejuana vyema na wazazi wake tangu angali mdogo.
BTW, umegusia jambo la maana kwamba mtoto analelewa kwenye mazingira ya upendo.
Kulelewa na babu na bibi ilhali Baba na Mama wana uwezo wa kukulea sidhani kama ni tafsiri sahihi ya kupendwa na wazazi wako, au?
Again, nazungumzia tofauti ya kimtizamo, kwani sijawahi lelewa na Babu wala bibi.
Nifafanulie hapo nipate kufahamu.
Wewe Babygal hivi bila kuenda mbali.... wewe ungelelewa kijijini completly ungekua na exposure ya kua na access ya JF hapa saizi??
Hizo circumstances za kijijini zilikuaje?? Majority inajulikana kabisa akisema kijiji... ni kijijini kweli... huyo mtoto alotolewa mfano hapo, huyo mamake unafikiri kweli anajali welfare ya mtoto kama inavo onesha dhahiri wewe ulikua unalelewa?? labda utuambie ni kitu gania kilifanya uamuzi wa kulelewa wewe huko ulikua ni upi/ au kwa nini??
Of course! Why not? I gave my BabyGal everything. Just because I reared her in a rural small town, that doesn't mean she was deprived. I made sure she got everything that I felt she needed to have including exposure to a lot of things.
Don't underestimate folks who live in rural areas and think that somehow they aren't as sophisticated as urbanites.
najua baba wengu huwa wanachukulia poa ndo maana hata mimi nafurahia kuwa na baba(but now he is no more) kwa ishu ya watoto wadogo mam ndo bora zaidi kuliko baba..
Basi uache infii maana iko siku mama Matesha atakuacha.
BTW: Natamani insights zaidi za kisa cha BabyGal.....(ila kuna jamaa anatoa macho kwelikweli)
najua baba wengu huwa wanachukulia poa ndo maana hata mimi nafurahia kuwa na baba(but now he is no more) kwa ishu ya watoto wadogo mam ndo bora zaidi kuliko baba..
He! Yamekuwa hayo?
Of course! Why not? I gave my BabyGal everything. Just because I reared her in a rural small town, that doesn't mean she was deprived. I made sure she got everything that I felt she needed to have including exposure to a lot of things.
Don't underestimate folks who live in rural areas and think that somehow they aren't as sophisticated as urbanites.
Tofauti ya kimtizamo BabyGal. Mimi sijawahi lelewa wala kuishi kijijini. Vijijini huwa napita tu, na kwa hali niionayo hakunipi chembe ya matumaini kwamba kuna Elimu nzuri, Huduma za Afya za kuridhisha nakadhalika compared na mjini ambako mtoto angejuana vyema na wazazi wake tangu angali mdogo.
BTW, umegusia jambo la maana kwamba mtoto analelewa kwenye mazingira ya upendo.
Kulelewa na babu na bibi ilhali Baba na Mama wana uwezo wa kukulea sidhani kama ni tafsiri sahihi ya kupendwa na wazazi wako, au?
Again, nazungumzia tofauti ya kimtizamo, kwani sijawahi lelewa na Babu wala bibi.
Nifafanulie hapo nipate kufahamu.
Tread carefully buddy!
Nadhani hapa mmeshindwa kuelewana hence kubadilisha point aliyoitoa... Issue sio mjini au kijijini Issue ni upendo.., ofcourse ni heri kuishi pangoni / au mtaani kwa upendo kuliko nyumbani / mjini kwa masimango na chuki...Uhakika wa kwamba angekua mjini angekua anakula raha ungetoka wapi?!Kukaa kijijini kunamkosesha raha ipi haswa kama analelewabila manyanyaso?!Kuona magari?!Huyo baba angemlea mwenyewe nyumbani au angemwacha na mama wa kambo/mfanyakazi?!Una uhakika gani kama ndivyo angelelewa vizuri?!
Hahaaa.....
BTW: unafahamu undani wa kisa cha babygal? Yeye kulelewa sehemu tofauti na kaka yake?
Kuachana............! I hate kuachana aisee!
BTW: Natamani insights zaidi za kisa cha BabyGal.....(ila kuna jamaa anatoa macho kwelikweli)