englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Watoto wansense sana good spiritss kama umekaa kibabe hata hakusogelei!
Good spirit kama Kikwete,,ama 😕
Bush anatisha kaa dume la sokweAngekuwa bush mtoto hamsogelei
Watoto wansense sana good spiritss kama umekaa kibabe hata hakusogelei!
Kwa hiyo huyu wa kwetu watampenda sana maana ni bigwa wa kutabasamu Kila mahala hata kwa wezi!Watoto wansense sana good spiritss kama umekaa kibabe hata hakusogelei!
Sure I love kids na watoto wakiniona wananipenda...
Kuna siku nlishangazwa jinsi watoto walivo na huruma niko zangu napanda ngazi na kitumbo changu nafanya mazoezi nkawakuta kama watano wamekaa kwa ngazi waliponiona tu wakaambizana wanipishe haraka nlivopita mmoja akaniuliza tuende kukufungulia mlango? Nkawajibu ahsanteni
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kama mkapa, Enzi zake sikuwahi kusikia mtoto wa mdoli akileta fyokofyoko eti kwa sbb baba rais!Ukiwa na sura kavu hata ujichekesheje watakuwa wanakuangalia tu kwa mbali